Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

Mie nataka kuwa wakala wa hayo maziwa ya brookside, kwa mwenye uelewa tafadhali naomba maelekezo aidha ya contact zao, namaanisha Kenya. Msaada please!


Yana wakala registered na wapo arusha, haya maziwa ni salama na kwa mletamada wewe ni kengele tu na sauti yako inayokereketa
 
Hakuna maziwa nayaamini na nayatumia kama hayo. Na yale ya KCC. Acha uzushi mleta mada
 
na sisi tumezidi mpaka maziwa tuna import kutoka nje acha watuwekee sumu na libwata la kumpenda Kenyatta
 
Mkuu muwe mnaleta vitu vyenye evidence sio kuwa na assumption. Mimi nimeyatumia hayo maziwa zaidi ya 3 carton consecutive kwa sababu maalum sijapata madhara yeyoye. Kuna mtoto wa sisy angu pia hutunia hayo maziwa na ana below 1year hajapata madhara yeyote

Wadau vitu vingine huwa ni ushindani wa kibiashara tu...

Sisteri hakuna UHT milk (like azam, brookside nk) ambayo shelf life inafika zaidi ya mwaka. UHT milk inatakiwa shelf life yake isizidi miezi nane. Hapa nazungumzia maziwa fresh.

Kwa Ulaya ni miezi mitatu tu. Nimeshiriki kidogo kwenye study na workshop zinazohusu maziwa, ndani ya mikutano hata wataalam wetu wanathibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom