Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

Meru Moja

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
254
Reaction score
73
Kuna taarifa mitaani kuwa maziwa aina ya BROOKSIDE yanayotoka Kenya, yana mionzi mikali ambayo ni hatari kwa watumiaji.

Inadaiwa kuwa kichanganyio cha kinywaji hicho kinachopelekea kukaa muda mrefu bila kuharibika SOLVENT hatari kutoka Russia.
 
Hahahaha, ndo kampeni za kutaka "Uhuru kenyata" akatafute pakuyauzia maziwa yake???????
yapo mengi ya kuwapiga marufuku ili heshima iwepo bt mkwere amekaa kimya hajasema lolote
 
Viroba vya TDL, Orijino na Jogoo ni hatari kuliko hayo maziwa....! Madhara yake yanaonekana waziwazi...
 
Tatizo watu wa sasa hivi uzungu mwingi 1423451587632.jpg
 
Viroba vya TDL, Orijino na Jogoo ni hatari kuliko hayo maziwa....! Madhara yake yanaonekana waziwazi...
Khaa!! Hapa tunazungumzia maziwa sasa habari ya viroba inatokea wapi tena??
 
I am not surprised, you guys are used to stooping too low.
 
Inaweza ikawa kweli yana sumu au huenda ni ushindani wa kibiashara na kina Bakhresa.

Brookside ni kampuni kongwe sana na inamilikiwa na familia ya mzee Jomo Kenyatta, ambapo msimamizi mkuu kwa sasa ni Uhuru Kenyatta akishirikiana na mama yake wa kambo, Mama Ngina.
 
Sio mama yake wa kambo, ni mama yake mzazi. Huyu wakati anazaliwa, baba yake ameshazeeka kabisa .
 
Sio mama yake wa kambo, ni mama yake mzazi. Huyu wakati anazaliwa, baba yake ameshazeeka kabisa .

Sawa mkuu thanx kwa ufafanuzi.

All in all ubora wa maziwa ya Brookside hauna mashaka, ndio maana Kenya kuna kipindi walipiga ban processed milk from Tanzania wakidai hayakidhi ubora unaohitajika.😕
 
Viroba vya TDL, Orijino na Jogoo ni hatari kuliko hayo maziwa....! Madhara yake yanaonekana waziwazi...

Madhara Yake Ni Yapi Na Yakoje? Fafanua Mkuu,ili Wanywaji Wakupate Vyema?
 
Bila kutoa taarifa iliyokamilika ujumbe rasmi unakuwa haujafika kwa walengwa, mtoa mada fafanua zaidi.
 
Tatizo watu wa sasa hivi uzungu mwingiView attachment 225344

Hapana mkuu... maziwa hayo hayawekwi chochote zaidi ya kuwa heated at a very high temperature in very short period/time na then kupoozwa very fast... na hii ndio technique pekee inayofanya yanakua na very long shelf life kuliko yanayochemshwa kwa njia ya kawaida
 
Madhara Yake Ni Yapi Na Yakoje? Fafanua Mkuu,ili Wanywaji Wakupate Vyema?

Hua yanaleta vipele na muwasho kwa watoto wadogo na pia yana kemikali ambazo ni harmful kwa wanyama ukitaka kujaribu mpe mbwa kwa siku tatu mfululizo kisha njoo utaleta mrejesho hapa. By da way nilishaachaga mda mrefu kunywa ni bora protein za mchuzi wa pweza kuliko maziwa ya brookside.
#nobrookside #
 
Hiyo Solvent hatari, mbona hatusikii malalamiko!? Ni wangapi walikwisha dhurika na hayo maziwa!? vinginevyo ni stori tu za mitaani...
 
Hapana mkuu... maziwa hayo hayawekwi chochote zaidi ya kuwa heated at a very high temperature in very short period/time na then kupoozwa very fast... na hii ndio technique pekee inayofanya yanakua na very long shelf life kuliko yanayochemshwa kwa njia ya kawaida

Huwezi kusema hayawekwi chochote na umeandikiwa whole milk 3.5% na hizo 96.5% ni za nn kama hakuna kingine. pia angalia kwenye ingredients. Hivi kuchemsha tu maziwa yakae 3 years?
 
nadhan mleta mada ungekua wazi tu kwa kusema watanzania tuthamin vya kwetu zaid
 
Back
Top Bottom