Yeah, madhara yapo. Weupe wa maziwa usikufanye ukahisi yap salama hivyo. Yanaweza yawe safi lakini si salama, hapa nazungumzia huwepo wa vimelea vya magonjwa, kama bacteria, virus kwa jamii yake.Habari wakubwa naomba kuuliza hivi ukinywa maziwa fresh yasiochemshwa kuna faida au madhara yoyote wakuu sababu nayapenda sana maziwa mabichi
Kwani we ni mmasai?Mh! Wengine kumbe tumekua kwa neema tu.
Maziwa yanakamuliwa kwenye kipeyu bado yanatoatoa moshi unakandamiza huku upo kifua wazi.
Kwani we ni mmasai?
Ooh kumbeMie mbantu!