Ndugu,amka,Maziwa ni bidhaa Mali sana.Acha kutegemea kuuza maziwa kwa wanywa Chai peke yao.Tengeneza mtindi uza,tengeneza jibini uza.Anzisha kiwanda chako cha kusindika maziwa.Funguka kichwa MtanzaniaWadau salaam, Mimi ni mjasiriamali natafuta soko la maziwa fresh (ambayo hayajachanganywa na maji kbsa). Nina uwezo wa kusupply lita hadi 100 kwa siku. Napatikana morogoro. Mwenye uhitaji wa maziwa hayo kwa jumla au rejareja tafadhali usisite kunitafutaView attachment 712598View attachment 712599
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ndugu,amka,Maziwa ni bidhaa Mali sana.Acha kutegemea kuuza maziwa kwa wanywa Chai peke yao.Tengeneza mtindi uza,tengeneza jibini uza.Anzisha kiwanda chako cha kusindika maziwa.Funguka kichwa Mtanzania
Unauzaje kwa ltr 1...?!!Wadau salaam, Mimi ni mjasiriamali natafuta soko la maziwa fresh (ambayo hayajachanganywa na maji kbsa). Nina uwezo wa kusupply lita hadi 100 kwa siku. Napatikana morogoro. Mwenye uhitaji wa maziwa hayo kwa jumla au rejareja tafadhali usisite kunitafutaView attachment 712598View attachment 712599
Nipo nje ya MorogoroWe upo wap ndugu
Lita kwa 1300
Sawa, Asante.Lita kwa 1300