SHEIKH:Waislaam, makaburi yetu yamekua Machafu, wapita njia wanatupa kila aina ya takataka hata taulo za kina mama "Asthakafulilai".
Nimeitisha hiki kikao niwaambieni kuna haja kujenga uzio kuzunguka makaburi yetu. Fundi amesema itagharimu million mbili mnasemaje? Muumini wa Kwanza:Tuchange buku buku, wapili: Elfu kumikumi. Mbwia unga: SHEIKH kwani kuna maiti gani ishatoroka mpaka tutumie Shs 2m kujenga uzio?