Mazishi ya Sanga ndani ya ardhi ya Tanzania

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811

Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!

190.JPG

123 smiiiile!!!!!!

52.JPG

117.JPG

95.JPG

74.JPG

Mtu pekee (picha chini) niliyemuona mwenye huzuni wa kweli na aliyevaa kimsiba nafikiri huyu mama atakuwa ni mtu wa karibu kabisa wa Marehemu kwa maana hana hata muda wa kupiga selfie, Pole sana kwa kuondokewa!​

69.JPG

Wengine ni full masmile kwa picha!

50.JPG

26.JPG

6.JPG

41.JPG

*Pumzika kwa Amani† !
 
ILA imejituma Sana ndugu kwenye huu msiba yangu mwanzo Ni wewe Tu mtoa taarifaa?
 
Kifo chake kilisababishwa na nini? Raha ya milele uumpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. AMINA
 
Naona wafiwa siku hizi hata Kanga hawakumbuki
Ni mwendo wa "fasiiion"....Naona mfiwa "Mke" wa marehemu miwani kubwaaa na wigi la Malaysia
Aliyebaki na "Uafrika" wake ni Mama yake tu Andrew Sanga,huyo Mama mwenye khanga nyeupe
Huyu ndio mzazi wake,anaishi Ujewa huko Mbarali
Taifa lisiloenzi mila na tamaduni zake wakati wa misiba na harusi,ni kama kinywa kisichokuwa na meno
 
Hivi mtu inakuwaje unapata muda wa kurekodi picha msibani?

Mambo yamebadilika sana siku hizi na ndo maana hata unaona kuna watu wanafurahia vifo vya hata wasiowajua kisa tu waliofariki walikuwa wanaishi Marekani.

Imagine siku nitakayokufa mimi namna ambavyo baadhi ya watu watakavyofurahi...

Uzuri ni kwamba hakuna anayenijua humu JF na kwa ajili hiyo nimewadhulumu furaha wanichukiao bila hata kunijua.
 
Yaani tukisikia kuna Diaspora amekufa halafu ikapita wiki hujapost kitu basi tutajua ni wewe na sherehe zitaanza rasmi...

Ha ha ha, we jamaa ni shida sana.
 
Yaani tukisikia kuna Diaspora amekufa halafu ikapita wiki hujapost kitu basi tutajua ni wewe na sherehe zitaanza rasmi...

Ha ha ha, we jamaa ni shida sana.

Hahaaaa kweli mimi ni shiida kama haja ya mabungo!

Halafu unajua nini....baada ya habari kuanza kuenea kuwa Drew ameaga dunia kuna watu walianza kudhani kuwa labda yeye ndo mimi.

Sijui kwa nini tu....labda ni zile swagga zake.

Hata hivyo mimi situmii social media...I'm neither on Twitter nor on the 'Gram. Don't do Snapchat either.
 
Back
Top Bottom