Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Napenda kuwafahamisha kwamba mazishi ya Mpendwa Wetu Nyaga Paul Mawalla yatafanyika Jumatano, tarehe 3/4/2013 jijini Nairobi, Kenya kwenye makaburi ya Lang'ata. Nafahamu kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mazishi lakini Wosia wa marehemu ndio umefuatwa. Naomba tushirikiane na familia katika safari ya kumpumzisha Ndugu yetu Nyaga. Daima tutamkumbuka na kumuenzi kwa mema yote aliyoyafanya.
Hii ni status ya msando Albert kule Fb..
 
Ahsante albert kwa taarifa usafir wa pamoja unaanzia wapi na go and return mmepanga shiling ngapi
 
aise inauma sana...sijui ni tatizo gani lililokuwa ndani ya moyo wa huyu jamaa mpaka kufanya maamzi yake haya yote hv kwel watoto wake na ndugu wawe wanafunga safari kwenda nairobi kuangalia kaburi na kulifanyia usafi jamani....upumzike kwa amani nyaga.
 
Nadhani kuna mtu alimsukuma
 
mhh........ what a sad ending to a great young man

come 10 years, hata kibao cha kaburi kitakua kimeshatupwa

kuna wimbo waliimba marquis unaitwa nasema sina ndugu

this tale takes me there

sad!!!
 
aise inauma sana...sijui ni tatizo gani lililokuwa ndani ya moyo wa huyu jamaa mpaka kufanya maamzi yake haya yote hv kwel watoto wake na ndugu wawe wanafunga safari kwenda nairobi kuangalia kaburi na kulifanyia usafi jamani....upumzike kwa amani nyaga.
Kwani huyu Bw si muisilamu? Sijawahi kuona wanasafisha au kutembelea makaburi. Sidhani Kama kuna lililoharibika.
 
mhh........ what a sad ending to a great young man

come 10 years, hata kibao cha kaburi kitakua kimeshatupwa

kuna wimbo waliimba kyauri voice unaitwa nasema sina ndugu

this tale takes me there

sad!!!
Aisee umenikumbusha mbali sana kwa huo wimbo....
'nasema sina ndugu, wa kuweza kunisaidia, nikifa leo na kesho, maiti ya kwangu ni bure, yatatupwa kama mbwa na kuyasahau pale pale....'

'Wandugu muwe na hurumaa, wandugu muwe na huruma, mateso ya kwangu ni yako, tafadhali tupendane'.
Janjaweed sijui ni huu ulimaanisha?
 
Last edited by a moderator:

Yes BHT ndio huohuo

naangalia jinsi baadhi ya mrafiki wa karibu walivyovalia njuga mazishi hata kuwa juu ya familia, wakati abotu 3 years ago, hawakua tena kwenye front page ya jamaa

naumia sana
 
Hawa ni Maquiz Original......Wandugu muwee na hurumaaa wandugu muwee na hurumaaa,....

ni kweli, alikufa mwenzao enzi za late 70s au early 80s pale ukumbi wa dansi wa mpakani (siku hizi silent inn) ndio wakaweka hiyo toleo
 
Ivi hadi mtu afikie hatua ya kuacha wosia wa namna hii what is behind the scene?
 
ni kweli, alikufa mwenzao enzi za late 70s au early 80s pale ukumbi wa dansi wa mpakani (siku hizi silent inn) ndio wakaweka hiyo toleo

Sina hakika sana lakini nafikiri ilikuwa Safari Resort pale Kimara..silent inn ya juzi juzi kwani ilifuatia nyuma kabisa
 
Yes BHT ndio huohuo

naangalia jinsi baadhi ya mrafiki wa karibu walivyovalia njuga mazishi hata kuwa juu ya familia, wakati abotu 3 years ago, hawakua tena kwenye front page ya jamaa

naumia sana
Mmh hapo sitakuwa na usemi, labda kwa kuwa ni 'marafiki wa karibu' kama ulivyosema basi familia imewapa jukumu la angalau kuchukua majukumu fulani ili kufanikisha suala zima la mazishi.

Na kwa uelewa wangu Alberto, Lemmy na marehemu walikuwa marafiki sana tu, na kiukweli sijui kama walikorofishana.
 
Sina hakika sana lakini nafikiri ilikuwa Safari Resort pale Kimara..silent inn ya juzi juzi kwani ilifuatia nyuma kabisa

ni Silent, zamani palikua panaitwa mpakani Bar, walikua wanapiga wao na badae kyauri voice (wacongo haohao)
 
aise inauma sana...sijui ni tatizo gani lililokuwa ndani ya moyo wa huyu jamaa mpaka kufanya maamzi yake haya yote hv kwel watoto wake na ndugu wawe wanafunga safari kwenda nairobi kuangalia kaburi na kulifanyia usafi jamani....upumzike kwa amani nyaga.

Yeah....jamaa labda one step ahead,...ila inachanganya sana mkuu.
 
mhh........ what a sad ending to a great young man

come 10 years, hata kibao cha kaburi kitakua kimeshatupwa

kuna wimbo waliimba kyauri voice unaitwa nasema sina ndugu

this tale takes me there

sad!!!

Walikuwa ni Maquiz Du Zaire Mkubwa, na haikupita muda mrefu aliyetunga kibao hicho alikufa!
 
ivi hadi mtu afikie hatua ya kuacha wosia wa namna hii what is behind the scene?
kweli mkuu tena jamaa alikuwa bado kijana sana masuala ya kuanza kuandika wosia ni kujitabiria au kujua soon you will die.
 
I'm not very sure,but! Inasemekana mawalla (marehemu) alikuwa na tatizo la kutopata usingizi kwa takribani miezi sita na alikuwa akilitatua kwa kutumia dawa za usingizi ambazo zilidevelop tatizo kwenye ubongo wake akawa kama (chizi fresh) na aliwekewa walizi kwa ajili ya kumchunga asijiue maana kwa muda alikuwa akisema atajiua, so nadhani walinzi wake walijisahau na akapata mwanya wa kufanya alichofanya, R.I.P Mawalla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom