Sijatoka mavumbini mimi, that's what i know..ila najua ntazikwa mavumbiniRIP Nyaga tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
amen
Sijatoka mavumbini mimi, that's what i know..ila najua ntazikwa mavumbini
Sijatoka mavumbini mimi, that's what i know..ila najua ntazikwa mavumbini
sina hakika kama huelewi au "kibri" chako tu.ngoja nijaribu kukuelewesha,tunaamini sisi wakristo kuwa binadamu wa kwanza adam aliumbwa kwa udongo kisha Mungu akaupulizia pumzi ya uhai,hivyo asili yetu ni udongo/mavumbi na tutakapozikwa ktk udongo/mavumbi tutakuwa tumerudi ktk udongo
note that:this is for believers only.msio amini kaeni kimya kwa vile hamuamini ktk hili.
Hivi jamani hakuna aliyehidhuria hayo mazishi atupe updates?