Asante sana Mkuu William kwa update.- Pasco, NIMEMUULIZA SANA MWENYEKITI MENGI KWAMBA KWA NINI HUU MSIBA UMEKWUA LOW PROFILE? AMENIAHIDI KUFUATILIA NA ATANIPA MAJIBU, NA PIA MKUU KASESELA ALIKUWEPO NA YEYE NI MIMI NILIYEMPIGIA KUMUARIFU, I AM VERY DIS-APPOINTED CAUSE HUYU JAMES AMEKUWA MUANDISHI WA TAIFA KWA MUDA MREFU SANA, WHY HAKUPEWA NATIONAL COVERAGE? NI A MILLION QUESTION JE KUNA MAHALI ALIANDIKA SOMETHING AMBACHO HAIKUWAFURAHISHA WATU FLANI AU WHAT?
WILLY!!
Asante sana kwa taarifa W.J.Malecela. RIP James Mwakisyala.
Hi sala yako hata kwenye mawingu haikufika. Unasubiri mtu afe ndo utoe sala mfu kama hii? Mungu atamtendea kwa kadiri ya matendo yake wakati akingali haiMwenyenzi mungu nakuomba sana umpokee huyu mtumishi wako uliyemwita kwako kutoka dunia hii.upende kwa wema wako
Hapa tuko pamoja na Mungu wangu wa UTATU akubariki...kuzibariki kazi njema ulizomjaalia kuzifanya alipokuwa hai nasi utuwezeshe kuiga mfano wa mema yake na kujitenga na uovu daima.
"besides celf centered ... follower off " ni broken language, ndio matokeo ya kuishi nje kwenye ma immigrant communities siku zote, matokeo yake unakaa Marekani miaka 30 unarudi hujui hata ku spell neno "self."- AND BESIDES CELF CENTERED ... I AM A GREAT FOLLOWER OFF, HA! HA! HA!,
WILLIE!!
"besides celf centered ... follower off " ni broken language, ndio matokeo ya kuishi nje kwenye ma immigrant communities siku zote, matokeo yake unakaa Marekani miaka 30 unarudi hujui hata ku spell neno "self."
Umeleta habari sawa, lakini mambo ya kutueleza umeahirisha kwenda mialiko makanisani inahusiana nini na huu msiba?
Asante sana kwa taarifa W.J.Malecela. RIP James Mwakisyala.
Lakini, @W.J. Malecela, ulikosa nguo za kuvaa mpaka ukuvaa hilo guo alama ya ufisadi na ukatili, hilo shati la kijanni?
Jamani mimi nilimfamu james kwa muda mrefu. mmoja wa watu ambao wanaweza kumsimulia vizuri Mwakisyala ni Seth Kamuhanda Katubu Mkuu Wizara ya Habari. kilichochangia msiba wake kuwa na low profile ni kwa sababu James aliondoka Daily News miaka ya 1993 kwenda kuwa afisa Habari wa Benki Kuu na baadaye kuondoka pale baada ya kugombana na Govana wa wakati ule sijui ni Idrasa au Mwingine akaenda kuwa Bureau Chief wa gazeti la East Africa. Nakumbuka wakati wa uhai wake Governor wa Benki Kuu alitishia kutopeleka matangazo yake the East Africa kwa sababu tu alikuwepo Mwakisyala ambaye alikuwa mgomvi wake. baadaye amwakisyala alianzisha magazine yake iitwayo East Africa Business or something closer to that. Kwa hiyo naweza kusema katika miaka yake 10 ya mwisho wa uhai wake hakuwa active kwenye mainstream media na hivyo hakuwa anafahamika sana na waandishi wa dot com.
Nitakufafanulia.I mean ma immigrant ndio watu gani hao bro?Willie!!
- KWANZA HAKUNA MEDIA OUTLET HATA MOJA ILIYOSEMA KUHUSU KIFO CHA MUANDISHI MAARUFU SANA TANZANIA HUY, IT WAS MY SELF EFFORT KUISEMA KILA MAHALI KUANZIA MY BLOG, MY FACEBOOK AND HERE!! AND I AM EVEN BRINGING YOU A PICTURE OF IT!! SO RESPECT THAT!!
- AND BESIDES CELF CENTERED NDIO THE HEART OF CAPITALISM WHICH I AM A GREAT FOLLOWER OFF, HA! HA! HA!, REMEMBER HOW THE US THEORIES FAILED OUR NATION BIG BIG TIME SO CHANGE BRO! HA! HA! HA!
WILLIE!!
Nitakufafanulia.
Ile community uliyokuwa ukiishi miaka 30 na ushee ulizungukwa na watu ambao mostly wanaongea Kihaya na Kiswahili, ni lazima utarudi nyumbani unaandika maneno kama "celf...I am a fan off"! Na hii ndio drawback moja ya kuishi kwenye ma immigrant communities, yani unarudi kama ulivyoondoka. Unaenda msibani na shati la CCM kubembeleza ukuu wa wilaya, nani atakupa cheo wewe wameshakushtukia una screws mbili tatu kichwani zimelegea? Unadhani hawakusomi humu mitandaoni unavyojichora? Habari ya msiba unatuchanganyia na "nimeahirisha kwenda kwenye mialiko makanisani." Mshamba mkubwa.
jamani lugha kama huijui vizuri ni lazima uitumie? Mijitu kama hii utakuta hakuna lgha wanayoijuwa zaidi ya lugha mama, kwa huyu kijana wetu inaonesha ni kihaya.
kangha, heleni,
Khanga, hereni.
Asante sana Mkuu William kwa update.
Maadam Mzee wa IPP alikuwepo na aliyekaa jirani yake hapo kwenye picha yako ni Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications ambayo ndio the second giant media baada ya IPP, lets hope at least msiba huu wa mwanahabari utapata media coverage japo after!.
Kiukweli nimesikitishea na ukimya wa hivi vyama vyetu vya habari, TAJA, TAMWA, TUJ, MISA, JET, MCT, MOAT, na Jukwaa la Wahariri, kwenye msiba wa mkongwe huyu!.
RIP JM!.