MAZISHI YA Arusha KESHO

Wao waende kwenye Mapinduzi ya Zanzibar. Nadhani siku ya Kesho vyombo vya habari hasa vya nje ya chi habari itakayotawala ni ya mazishi ya wapambanaji na sio Mapinduzi ya Zanziba
 
Dr Slaa mkuu wetu nakuona uko active kwenye hii thread..
Tafadhali tuambie mmewaalika hao watu waje kweli?
Just curious to know!

Ila if possible i don't want to see them there hata polisi wasiwepo kabisa maana wanaweza kuharibu udhu yangu.
 
unawau mwenyewe kisha unaenda kwenye maombolezo ili uonekane umewazika na ni mzikaji!!!!...goosh!:cry🙁... Are my private-parts functional?!!!)

kill them before they grow!!...is their motto!

paka jimmy signature yako kubwa sana embu ipunguze inanifanya nishindwe jua msg imeishia wapi,ipunguze fanya kama yangu,si unaona ilivyo poa mhh gret thinker
 
Imekuwaje mkuu leo na wewe unawaita CCM wasanii, naanza kusikia harufu ya mabadiliko.

Mkuu inawezekana Mwl wako alipata shida sana akili yako ngumu sana kuelewa.
 
paka jimmy signature yako kubwa sana embu ipunguze inanifanya nishindwe jua msg imeishia wapi,ipunguze fanya kama yangu,si unaona ilivyo poa mhh gret thinker
Wewe ni nani?
Uko JF Admin-Kitengo cha signature?
 
Mkuu inawezekana Mwl wako alipata shida sana akili yako ngumu sana kuelewa.


NIMEKUSOMA MKUU INA MAANA UMEKUJA KUNDINI HIVi KARIBUNI SIO?KARIBU SANA KWENYE MAZISHI KESHO TUANZE MCHAKATO PAMOJA,KESHO TUNAWEKA JIWE KUU LA PEMBENI THEN ALUTA CONTINUE ASTRA MANYAN
 
Unajua tanzania tuna mataifa mengi ndiyo maana hata sherehe zingine tunazisahau.
kweli mkuu lakini Tanganyika ilishakufa zamani mkuu tumebakiwa na zanzibar na tanzania tuu.
 

Hii ni habari ya uongo wa mchana. Wao wana Mapinduzi yao Zanzibar. Wameshaua inawatosha!!
 
Wewe ni nani?
Uko JF Admin-Kitengo cha signature?


nimekushauri tuu mkuu kama haifai basi yaishe ,siko jf wala kitengo cha signature sikijui,ila ungeipunguza kidogo japo iwe kama yangu eeh;;hata ukiiga sitamind its ok sitadai VAT wala PAYE
 
Hii ni habari ya uongo wa mchana. Wao wana Mapinduzi yao Zanzibar. Wameshaua inawatosha!!

MARA NGAPI JK AMETOKA KWENYE SHEREHE KAMA HIZO UNAZOSEMA NA JIONI UKASIKIA YUPO HETHROW ANAENDA UBELIGIJI?????IWE ARUSHA HAPO PA DAKIKA arobaini,ANATUMIA NDEGE NA LAND CRUIZE GX V8

 
Wao waende kwenye Mapinduzi ya Zanzibar. Nadhani siku ya Kesho vyombo vya habari hasa vya nje ya chi habari itakayotawala ni ya mazishi ya wapambanaji na sio Mapinduzi ya Zanziba

anhaa kumbe kesho mapinduzi ya ZNZ ndio maana sijawasikia kina MS.., DSM.., Charityboy.., Kishongo.., Topical na wenzao humu JF.... amebaki Z peke yake
 
anhaa kumbe kesho mapinduzi ya znz ndio maana sijawasikia kina ms.., dsm.., charityboy.., kishongo.., topical na wenzao humu jf.... Amebaki z peke yake


wameenda kupanga meza,na kuandaa gharide la scout wa pemba
 

watuache tuzike wapigania uhuru wetu.... wao si wanamapinduzi kesho?
 
Nimekubali, ukifuatilia hiyo link na ukasoma ngongo alivyomlima Lema na kumpamba Batilda hadi kusema "Lema angekuwa na nusu ya uwezo wa Lyimo hakika Mama Batilda angefungasha virago siku nyingi.Mikutano mingi ya Lema imejaa balah blah na pumba nyingi kiasi nashindwa kuamini wapo watu wenye akili nzuri watakao mpigia kura." kuona sasa ngongo anawaita CCM wasanii, ni mabadiliko makubwa sana.
Nakushukuru Ngongo kwa kuuona ukweli.
Nawewe quinine mtu yeyote mwenye kufikiri sawasawa hawezi (na hapaswi) kuendelea kukaa na fikra potofu, akibadilika tushukuru (tusilaumu) ila tuendelee kumuelimisha asije akapotoka tena.
 
Nimekupata mkuu mimi nilitaka kumkumbusha tu Ngongo kuwa watu tuna kumbukumbu.
 
Taarifa za intelejensia zinaonyesha kutakuwa na machafuko kwenye tukio hilo tunawataka ccm washudhurie hapo hawatapona watazomewa sana!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…