Kwa taarifa nilizopata ni kuwa raisi jakaya kikwete na waziri mkuu pinda watahudhuria mazishi ya kesho kwenye viwanja vya nmc arusha.na hii imetokana na msukumo wa kimataifa kwani taarifa zinasema kuwa
bbc
dw
aljaazira
cnn
sbc
sky news
na magazeti kibao ya magharibi tayari wako hapa arusha kuonyesha tukio hili katika coverage kubwa kuliko inavyotegemewa
naomba sana wananchi wanademokrasia na mashujaa walioko kokote tanzania wafike kesho na wakazi wa arusha tunawaomba mjitokeze kwa wingi kabisa
hghahhahhahaha hapo ndo nimewakubali ccm wamekuwa wajanja KIDOOGO! WASISUBILI UJIKO WAZOE WENGINE BUT hizi habari si za kweli vipi sherehe ya Mapinduzi hata hudhuria???? huuuu ni URONGO SASA!
hAO AUTOMATICALLY WATAKUWEPO MKUU!Mbona hujawataja Freeman Mbowe na Dr. W. P. Slaa?
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa raisi jakaya kikwete na waziri mkuu pinda watahudhuria mazishi ya kesho kwenye viwanja vya nmc arusha.na hii imetokana na msukumo wa kimataifa kwani taarifa zinasema kuwa
bbc
dw
aljaazira
cnn
sbc
sky news
na magazeti kibao ya magharibi tayari wako hapa arusha kuonyesha tukio hili katika coverage kubwa kuliko inavyotegemewa
naomba sana wananchi wanademokrasia na mashujaa walioko kokote tanzania wafike kesho na wakazi wa arusha tunawaomba mjitokeze kwa wingi kabisa
Unauliza jibu, wao ndio waandaaji wakuu wa huo mkutano kwa nini wasiwepo.Mbona hujawataja Freeman Mbowe na Dr. W. P. Slaa?
hawawezi kuwepo katika mazishi! siyo watu wa kada hiyo! na kama watakuwepo nitawashangaa sana! wataiharibu siku ya kesho! hatuwahitaji! hili ni tukio lisilowahusu!:sing:
hawawezi kuwepo katika mazishi! siyo watu wa kada hiyo! na kama watakuwepo nitawashangaa sana! wataiharibu siku ya kesho! hatuwahitaji! hili ni tukio lisilowahusu!:sing:
Imekuwaje mkuu leo na wewe unawaita CCM wasanii, naanza kusikia harufu ya mabadiliko.Sipendi kusikia wasanii wa CCM wakipewa nafasi ya kubwabwaja waje lakini wakae kimya kabisa.
Nilishasahau kuwa tuna sherehe za mapinduzi kesho, kweli mambo huwa yanabadilika.hghahhahhahaha hapo ndo nimewakubali ccm wamekuwa wajanja KIDOOGO! WASISUBILI UJIKO WAZOE WENGINE BUT hizi habari si za kweli vipi sherehe ya Mapinduzi hata hudhuria???? huuuu ni URONGO SASA!