mind bringer Senior Member Oct 19, 2017 170 51 Oct 13, 2020 #1 Wataalam hv hadi sasa chuo cha NIT hakijaweka mazingora mazur ya usomaji au watu wanachuki binafsi na chuo hicho tuapene taarifa za hicho chuo upande wa mazingra ya kusoma.
Wataalam hv hadi sasa chuo cha NIT hakijaweka mazingora mazur ya usomaji au watu wanachuki binafsi na chuo hicho tuapene taarifa za hicho chuo upande wa mazingra ya kusoma.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,604 188,819 Oct 13, 2020 #2 Mazingira mazuri ya kusoma unayazungumzia yapi mkuu? Hebu eleza kwa makini au story za mtandaoni zimekutisha.
Mazingira mazuri ya kusoma unayazungumzia yapi mkuu? Hebu eleza kwa makini au story za mtandaoni zimekutisha.
kikoozi JF-Expert Member Jun 24, 2015 2,030 2,930 Oct 13, 2020 #3 Upande wa mazingira ni mabovu mnooo, elimu bora pale ni udereva tu izo zingine ni tangulia mbele tu.
mind bringer Senior Member Oct 19, 2017 170 51 Oct 13, 2020 Thread starter #4 Kichwa Kichafu said: Mazingira mazuri ya kusoma unayazungumzia yapi mkuu? Hebu eleza kwa makini au story za mtandaoni zimekutisha. Click to expand... Mtandaoni man wanatutisha kwel afu wengne hata Dar hatujawai kufika
Kichwa Kichafu said: Mazingira mazuri ya kusoma unayazungumzia yapi mkuu? Hebu eleza kwa makini au story za mtandaoni zimekutisha. Click to expand... Mtandaoni man wanatutisha kwel afu wengne hata Dar hatujawai kufika
mind bringer Senior Member Oct 19, 2017 170 51 Oct 14, 2020 Thread starter #5 kikoozi said: Upande wa mazingira ni mabovu mnooo, elimu bora pale ni udereva tu izo zingine ni tangulia mbele tu. Click to expand... daaaahhhhh!!!!!!!!!
kikoozi said: Upande wa mazingira ni mabovu mnooo, elimu bora pale ni udereva tu izo zingine ni tangulia mbele tu. Click to expand... daaaahhhhh!!!!!!!!!
tang'ana JF-Expert Member Apr 3, 2015 11,813 15,078 Oct 14, 2020 #6 mind bringer said: Mtandaoni man wanatutisha kwel afu wengne hata Dar hatujawai kufika Click to expand... Sasa si uombe chuo kingine?
mind bringer said: Mtandaoni man wanatutisha kwel afu wengne hata Dar hatujawai kufika Click to expand... Sasa si uombe chuo kingine?