Gentleman,Jana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.
Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.
Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Paul Kisabo, 17 Machi 2025, Dar es Salaam.
Bwabwa aka chizi karogwa tenaGentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.
Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.
porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Takataka kabisa weweGentleman,

Ngoja niwe 'mpumbavu' kwa muda huu mfupi kuamsha fikra za yeyote atakayesoma andiko hili:Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Je wewe Ndugu yangu, ulisha wahi kushikiriwa huko gerezani? Kama bado, basi jua kwamba Zamu yako inakuja kwa kasi ya kimondo.Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.
Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.
porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Inasikitisha sana kwa kweliJana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.
Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.
Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Paul Kisabo, 17 Machi 2025, Dar es Salaam.
Majambazi yanasubiri kwenda ICC.Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.
Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.
porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Dunia tunapita, kosa la Lissu ni UenyekitiJana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.
Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.
Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Paul Kisabo, 17 Machi 2025, Dar es Salaam.
Mungu anawaonaGentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.
Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.
porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Wauaji na wahaini wa kweli ndio wanao ongoza mhimili mwingine kwa woga wao baada ya kuiba kura na kufanya mauaji ya kikatili...so funny!Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.
Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.
porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Mungu yupo pamoja na waja wake wote daima gentleman,Mungu anawaona
Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.
Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.
porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Bado ni mtuhumiwa sio criminal, criminality ya mtu hudhibitishwa na mahakama.Mtu yuko Gerezani unataka aishi kama yuko Serena Hotel? Hayo ndo maisha ya Gerezani mpaka kesi yake itakapokwisha hayupo peke yake. Hana u special wowote he is Criminal kama walivyo wahalifu wengine atulie Gerezani hakunaga Siri tena afadhali hata Ukonga unaongea kwa simu kati kuna Hard plastic Keko unachanwa live tuu hapo hapo Kila mtu anasikia tatizo wengi mnaenda kule kwa lengo la kwenda kuchukua idea za kupanga uhalifu na maandamano yaani Jaji aache kusikiliza kesi za Watu wengine aende kumtembelea mhalifu mmoja? Halafu Ukonga Wako Notorious Criminals kama Lissu hata 20 hawafiki tofauti na Segerea na Keko.
K ya mm
Remands wote in general Criminals tuu wanaitwa wahalifu wafungwa Convicts muwe mnaenda siku moja moja kutembelea kule kuna ubao pale tena uliandikwa na mkoloni mwenyewe wanabadilisha namba tuuBado ni mtuhumiwa sio criminal, criminality ya mtu hudhibitishwa na mahakama.
As of now bado na ana haki kisheria , so ww sijui umetoka wapi unataka mtuhumiwa awe treated i worst ways , halaf mnata wananchi wafuate sheria?
Wanafuataje sheria wakati mamlaka hazifuati hizo sheria?