Iko vizuri sana tena ipo Jirani kabisa na town japokuwa ipo mbeya vijijini ila unaenda uyole kwa mguu , kwa hiyo accessibility ya materials kutoka shule zingine ni kubwa sana .Ila jiandae kuna baridi Kali kali sana. Nunua blanketi zito na masweta ya kutosha!!
Usafir upo24hour
hahaha kumbe ushafika Yale maeneo hatari kwa baridIko vizuri sana tena ipo Jirani kabisa na town japokuwa ipo mbeya vijijini ila unaenda uyole kwa mguu , kwa hiyo accessibility ya materials kutoka shule zingine ni kubwa sana .Ila jiandae kuna baridi Kali kali sana. Nunua blanketi zito na masweta ya kutosha!!
Usafir upo24hour