Mazingira ya Iwalanje High school ni rafiki

Magody

Member
Aug 1, 2015
14
13
Nimepangiwa Iwalanje High school Mbeya PGM kwa wanao ijua mazingira & ki academic ni nzuri au niende private tu.
 
academic iko vzr na msuli unaitajika alafu iyo kombi imeanza mwaka 2014/15 bt kwa geography ni regionwise ile school
 
Iko vizuri sana tena ipo Jirani kabisa na town japokuwa ipo mbeya vijijini ila unaenda uyole kwa mguu , kwa hiyo accessibility ya materials kutoka shule zingine ni kubwa sana .Ila jiandae kuna baridi Kali kali sana. Nunua blanketi zito na masweta ya kutosha!!
Usafir upo24hour
 
hahaha kumbe ushafika Yale maeneo hatari kwa barid
 
Back
Top Bottom