Mazingira ya Chuo Kikuu Iringa yapoje?

gilldenu

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
2,307
Points
2,000
gilldenu

gilldenu

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2015
2,307 2,000
Me nasoma apo mkuu nimejitolea kuwa mwenyeji wako....mazingira ni mazuri sana na ni rafiki kwa kila mwanafunzi
 
trey007

trey007

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
435
Points
500
trey007

trey007

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
435 500
Iringa sisomi tena nakumbuka nilisoma advance kawawa nikawa nafanya kazi ya kuzunguka milima kupata unafuu wa kupitia ubavu wa mlima nikiwa nakuja iringa napitia nyang'oro saa ya kurud napitia kitonga
*Onyo kama una moyo mwepesi jiandae kisaikolojia la sivyo utabeba vifungashio mpaka umalize chuo
 
Entreprenuare

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Messages
213
Points
250
Entreprenuare

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2019
213 250
Ukithubutu kula nyama, umekula mbwa.. mzee.

Kuna mwaka nililishwa mbwa, nyama ilikauka vizuri.. mwisho wa picha kumbe mbwa.
 
Luvanga1

Luvanga1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,675
Points
2,000
Luvanga1

Luvanga1

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,675 2,000
Vyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...

Vimbweta vipo vya kutosha

Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..

Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae

ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
Hahaha dah ulanzi
 

Forum statistics

Threads 1,342,677
Members 514,746
Posts 32,759,569
Top