Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 239
- 169
Shikamoo jf kwanza then nitarudi...
Ulanzi hahaha 😊Vyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...
Vimbweta vipo vya kutosha
Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..
Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae
ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
Unaenda wpiiiiiShikamoo jf kwanza then nitarudi...
Ushamba unakusumbua broo.. Tembea basiUsisahau hako kamkoa upande wa pili wa shilling kana mabalaa na manuksi! Check your back!
Daah, mkuu ulanzi umenikumbusha mbali nimewahi kuonja nipo pale Mafinga..Vyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...
Vimbweta vipo vya kutosha
Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..
Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae
ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
Daah, mkuu ulanzi umenikumbusha mbali nimewahi kuonja nipo pale Mafinga..
Ila Iringa kuzuri sana, we unaishi maeneo gani mkuu
Dah, kuna mshikaji wangu hapo wilolesi anaitwa NyenzaMimi nipo huku town mkuu,wilolesi
One day ntakuja kutembea Iringa kwa Mara nyingineMimi nipo huku town mkuu,wilolesi
One day ntakuja kutembea Iringa kwa Mara nyingine
Atakuja kukushukuruVyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...
Vimbweta vipo vya kutosha
Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..
Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae
ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
[emoji3][emoji3][emoji3] hili jamaaa jinga sanaVyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...
Vimbweta vipo vya kutosha
Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..
Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae
ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
Jomon hta maeneo ya don bosco ulanz bomba upoooMimi nipo huku town mkuu,wilolesi
Jomon hta maeneo ya don bosco ulanz bomba upooo