MAZINGIRA na MICHEZO

Ja-roche

New Member
Jul 13, 2011
1
0
JAMWATANZANIA MIMI KAMA MDAU WA MAZINGIRAANI
Nasikitika sana na uchafuzi wa mazingira utokanao na Tiketi pindi mechi za viingilio zinapochezwa ktk Uwanja wa Taifa
hali hii sio nzuri hata kidogo naomba mamlaka husika zkuzingatia suala la utpaji holela wa tiketi hizo kwani huchafua mazi-
ngira yote yazungukayo Uwanja huo kama vile CHUO cha
DUCE, HOTEL nk
TFF, MANISPAA, tujali mazingira
J-roche
 
Back
Top Bottom