Huwa wanatumia High Technology siku hizi. Kama hii ya kupaa aliyofanya David Copperfield....
https://www.youtube.com/watch?v=WD2i4Mn6nio
Criss Angel bana dah! ana bonge ya crib(iliwahi kuwa katika episodes za Mtv Cribs), full satanic tu. Ana gari kama 50 pia, halafu zote nyeusi. Huwa nikijumlisha hayo yote, naona mazingaombwe ni madude flani tu ya kishetani.
Bora wewe umeshindwa kujua ukweli
wengine wanasema ni teknoloji tu....