Maziko ya "Ngosha" aliyebuni Nembo ya Taifa utata

Maziko ya "Ngosha" aliyebuni Nembo ya Taifa utata

Hapo ingekuwa wanatafutwa ndugu wa marehemu ili wakabidhiwe pesa za kumtunza mzee basi pasingetosha ila kwa sababu ni msiba watu wamepiga kimya.


Anyway ndivyo binadamu tulivyo
Naam, kwenye pesa tuko pamoja ila kwenye dhiki tunatengana
 
Ni jambo la aibu sana na si la Kistaarabu hasa kwa Watanzania ambapo Mtu unajua kabisa kuwa Ndugu yako amefariki dunia halafu mnatafutwa mnanyamaza. Na usikute hao hao ambao wamenyamaza Mzee ndiyo alitumia Pesa zake zote za Kiinua mgongo kuwasomesha hadi wengi wao leo hii wamefanikiwa Kimaisha. Waafrika sijui nani alituroga hakyanani!
Nalo hili ni neno.
 
Ina maana serikali haimjui aliyebuni nembo ya taifa?
 
Ni mara ngapi hao wa ughaibuni maiti zao zinachomwa kwa kukosa ndugu na fedha za kumsafirisha?

Musa Allan unatumia kinywaji gani ndugu yangu uanze kunywa bili kwangu? safi sana umejibu vema na nukuu nzuri, nimefurahi ulivyojibu sijui kwanini tu
 
Back
Top Bottom