Kuna mafunzo mafupi ya miezi Tisa, na mafunzo ya miaka mitatu. Kila muhula unasilabasi take.Unasoma miezi mingapi ndo ndio umefuzu ?
Anaishi wapi ?Kuna kijana nahitaji nimsimamie ajifunze ila anapoishi ni mbali na chanika
Anaishi wapi ?
Hapo anaweza kuwa anakuja yeye mwenyewe, anapanda gari Moja tu,Yombo, abiola
Inategemea na uvumilivu wako wa kipigo cha masta😅!Unasoma miezi mingapi ndo ndio umefuzu ?
Aha sawa kiongoziKuna mafunzo mafupi ya miezi Tisa, na mafunzo ya miaka mitatu. Kila muhula unasilabasi take.
Unajikaza tu mbona master amewezaInategemea na uvumilivu wako wa kipigo cha masta[emoji28]!
Unaweza ef 30,000 ukaikimbia baada ya week tu![emoji41]
Hapo anaweza kuwa anakuja yeye mwenyewe, anapanda gari Moja tu,
Za chanika zipo, ila si nyingi Sana.Pale kuna gari za chanika? Maana najua kuna za gongo la mboto tu.
0717927312 - karibu Sana.Upo wapi tujitose?
Mh,,sijui kama upo uo mchezo wa kuzidi michezo yote,minilishaona mcheza kung fu kakaa kwa kick boxing na pia kick boxing kakaa kwa kung fu.Mi naomba kuuliza, kuna Kara te, Kung fu, Boxing, Tai chi n.k sijui kama IP MAN nayo imo..... ila swalli langu katika Michezo hii yote ni mchezo upi ambao Mtu akijifunza basi huyo atakua kashindikana, yaani ukienda na Kung fu atakuchapa, ukienda na Boxing yake utachezea n.k???
Hakuna Sanaa Ya mapigano Bora kuliko nyingine, ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.Mi naomba kuuliza, kuna Kara te, Kung fu, Boxing, Tai chi n.k sijui kama IP MAN nayo imo..... ila swalli langu katika Michezo hii yote ni mchezo upi ambao Mtu akijifunza basi huyo atakua kashindikana, yaani ukienda na Kung fu atakuchapa, ukienda na Boxing yake utachezea n.k???
Alafu IP man, si style Bali ni jina la mwalimu wa Bruce Lee, huyu Mzee yeye alikuwa anafundisha wing Chun style.Hakuna Sanaa Ya mapigano Bora kuliko nyingine, ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.
Nitakucheki siku nikipata muda,, ossAlafu IP man, si style Bali ni jina la mwalimu wa Bruce Lee, huyu Mzee yeye alikuwa anafundisha wing Chun style.
Naomba Mrejesho kama mshapiga comittKaribu Sana ,0717927312.
Sijaona mtu yeyote aliokuja, Wala kupiga sim. Mrejesho ndio huo. Asante Sana.Naomba Mrejesho kama mshapiga comitt
Hauna u master wowote weweMimi na tengeneza Njia yangu, ili wengine wapite salama, alafu wewe unatia viziwizi ili watu wasipite . Nahapa unataka niwe mnyenyekevu tu . Hapana unyenyekevu haupo ivyo. Inapo bidi nilazima nisafishe Njia ili Njia yangu iaminike na watu wapite salama,bila ya hofu Wala kiziwizi chochote kile.