Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,619
- 10,517
Krav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.
Na hizo ndo mbinu za ugomvi wa mtaani. Karate kwa zaidi ya 60% ipo kimchezo zaidi (sport,) ndo maana Kuna rules lakini katika ugomvi wa mtaani hakuna rules. Chochote kilichokaribu unatumia, kila sehem ya mwil wako inatumika Kama vile meno, kucha, kufinya, n.k
Wachezaji karate weng ukiwabana vzr wanahama kutoka kwenye ugomvi wa kikarate kuja kwenye tifu (ugomvi wa mtaa)