Kuna gari nyingine ukiwa nazo lazima uwe na gari mchepuko, hiyo itakusaidia kutopigwa bei ya spare kwa 7bu utakuwa na muda mwingi hata kuagiza ikihitajika. Bongo jinsi hiyo hiyo taa uliyoambiwa 1.5m unaweza ingia mtaa 3 ukaambiwa 800k uka bargain ukauziwa kwa 600k au 650k. Halafu hiyo ya kusema eti service costs 700k inafikirisha sana