GeorgeGab
Member
- Nov 24, 2017
- 41
- 17
Habari wana Jamiiforum...
Natokea maeneo ya mkoa wa Katavi-Mpanda.... Aisee napenda kufanya biashara ya mazao lakini nakosa misingi jinsi ya kuanza.... Naombeni mawazo kutoka kwa wahenga.... Sijapenda kuanza kwa kuulizauliza huku maana naijua hulka ya watu wa maeneo ya huku wanapoona mtu anawazo la kufanya biashara kama yao... Asanteni, napokea mawazo yoyote. Nitayapembua mwenyewe....