The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Hujalala tuu wee SemenyaFanya kazi wewe 'Kifutu' acha porojo.
Unadhani kila sehemu ni usiku wewe Magdalena?Hujalala tuu wee Semenya
Kumbe unaishi kwa Shem wako Australia US ama CanadaUnadhani kila sehemu ni usiku wewe Magdalena?
Sasa ulijua shemeji yangu anakaa Namtumbo?Kumbe unaishi kwa Shem wako Australia US ama Canada
Am sure about it
Acha porojo wewee fanya kazi na ujikite kwenye madaSasa ulijua shemeji yangu anakaa Namtumbo?
Turudi kwenye mada: TMT iko kwa ajili ya kutengeneza pesa, Mayweather hata ukimpa mkwanja akunadie taulo za kike atafanya hivyo ili tu mkwanja uingie.
Beba boksi ukumbuke kurudi nyumbani.
Hashish imeshakuchengua. Nilikuambia uache kuvuta lakini hukunisikia, unaona sasa?Acha porojo wewee fanya kazi na ujikite kwenye mada
Fanya kazi wewe acha porojo.Acha porojo wewee fanya kazi na ujikite kwenye mada
huyu auFanya kazi wewe 'Kifutu' acha porojo.
Asante kwa picha, ndiye huyohuyo.
Hahaha bado hupo Denmark?Hashish imeshakuchengua. Nilikuambia uache kuvuta lakini hukunisikia, unaona sasa?
Ndio wote tuwe sawaMwanaume unachukia mafaniko ya mwanaume mwenzio?
Zile rangi rangi za upinde zinakuhusu wewe.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kifutu..dahFanya kazi wewe 'Kifutu' acha porojo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujalala tuu wee Semenya
Kumbe mgonjwa mtambuka yuko dengaHahaha bado hupo Denmark?
Ni wivu tuMzuqa!
Wanoko wamethibitisha Floyd Mayweather hana lolote. Kumbe yale magari, saa za kifahari na pesa anazotutishia Instagram sana sana siyo zake makampuni yanampa aweze kuwapa promo na kuwatangazia biashara. Yani watu sasa hivi tumepata amani mioyo yetu imeanza kutulia.
Pia Wanoko wanaamini Diamond naye ni mbwembwe tu ni kama floyd mayweather tu ila bado haijathibitishwa tunafuatilia na tunaomba tu iwe hivyo.
Millard Ayo naye Wanoko wanadai anashuka kwa kasi hayupo kama zamani.
Lazima wote tuwe sawa tu tukilala tuwe na amani na faraja