Mayors Awards 2015 ya ALAT

Mayors Awards 2015 ya ALAT

displayname

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,972
Reaction score
1,091
Kama kuna mtu awezae kutupatia updates kwa yanayojiri katika Tuzo Za Mameya na Wenyeviti chini ya ALAT.
Halmashauri zipi zimeibuka na ushindi katika vipengere hivi;

1 Huduma na Miundombinu Bora,
2 Maendeleo ya Kiuchumi,
3 Maendeleo ya Halmashauri,
4 Usimamiaji Mapato,
5 Utawala Bora

Na nininzawadi pia nani mshindi wa kupiga kura nyingi na kujishindia dola 8,000?

Updates tafadhari; nawasilisha.
 
Vigezo vikizingatiwa kwa umakini wa hali ya juu nafikiri hakutakuwa na mshindi!
 
Vigezo vikizingatiwa kwa umakini wa hali ya juu nafikiri hakutakuwa na mshindi!

Washindi watakuwa wameshapatikana hadi sasa ingawa bado wafahamu...
Wacha nikatafute magazeti maaba hata website yao ALAT hawaja updates

Kwa nini wafikiri hivyo? #Mwanamayu
 
Ulanga zawadi 2, kinondoni tractor

Zawadi mbili ndio zipi mkuu?!
Nimesikia arusha dc wamepata pikioiki na kinondoni ndio overall winner hii sijui ndio inamanisha wameshinda categories nyinginzaidi au mwenyekiti wa alat ni meya wa hiyo manispaaa?!

I wish nipate details zote kama idadi ya kura zilizopigwa pia na ile dola 8,000 nani kaitwaa!
 
Back
Top Bottom