Mayalla: Walinilazimisha kukiri kosa

Yaani tunakoelekea sasa bado kidogo tutapangiwa hata muda na namna ya kujiposition tuwapo maliwatoni.

Nchi ya kipuuzi sana hii.
 
Yaani tunakoelekea sasa bado kidogo tutapangiwa hata muda na namna ya kujiposition tuwapo maliwatoni.

Nchi ya kipuuzi sana hii.
Kilichobaki sasa ni kupangiwa muda wa kulala na wake zetu pamoja na kupewa maelekezo ya staili za kudinyana.
 
Nchi ya kifalme ujinga mtupu
 
Kwani hiyo video sio yake mkuu? Hayo aliyoongea hapo ndiyo majibu sahihi. Alilazimishwa kukiri kosa na utawala wa kidikteta wa Samuya.
video ni ya kwake na maelezo ni ya kwake ndio maana nasema undani wa kila kitu yeye ndio anajua.
Na ukimsikia na kumuelewa tayari unajua ukweli ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…