Happiness1
Member
- Dec 12, 2018
- 49
- 26
Nahitaji mayai ya kisasa kutka kwa mfugaji mwenye nayo tuwasiliane nipo Dar Kimara mwisho 0757277543
YapoBasi sawa
Bei ya dukani sasa mi nitauza vipi
Kuanzia trei kumiUnahitaji trey ngapi ....?
Nina mzigo wa kutosha ungekuwa umefika ata Trey 50 tungefanya biashara nikakuuzia 5000.Kuanzia trei kumi
Kama wewe in mfugaji nipe bei nzuri tufanye biasharaDuka gani Kimara linauza 6500?
Ndio naanza tuanze na trei 20 mambo yakikaa sawa hats 100 nitachukuaNina mzigo wa kutosha ungekuwa umefika ata Trey 50 tungefanya biashara nikakuuzia 5000.
Unafanyia wapi biashara. ..?Ndio naanza tuanze na trei 20 mambo yakikaa sawa hats 100 nitachukua
Bado nipo nyumbaniUnafanyia wapi biashara. ..?
Kama wewe in mfugaji nipe bei nzuri tufanye biashara
Mkuu unapatikana sehemu gani?Ninayo bei 6500
Mimi ni mnunuaji
I thought unaweza kunielekeza duka lenye hiyo bei
Walau ninunue kwa bei nafuu
Mtoni ni wapi tuelekeze tafadhaliJuzi nimeenda Mtoni nimeshangaa tray wanauza 5,000- 6,000 tena unachagua