Mayai

Mayai

Mfano wake Utoke Stesheni Bus stand hadi kivukoni bus stand Ndo umbali uko hivo ila tu barabara hii ya kilwa road uzuri imenyooka alafu hapo wanapouza mayai pawe St.Joseph kanisa.(Nadhani huu mfano utakuwa rahisi sana) sina nilijualo lingine
 
Dah...siku ikifika...bidhaa ikatoka kwa mzalishaji na kwenda kwa mlaji moja kwa moja...bila kupitia kwa huyu mlanguzi...mnyonyaji...mpanga bei...mvivu...mlaliaji.....tutakuwa tumepiga hatua muhimu ya uchumi wetu....
Mzalishaji hawezi kukuzalishia kisha akatafuta final consumer moja kwa moja bila ya supply bro
 
Mzalishaji hawezi kukuzalishia kisha akatafuta final consumer moja kwa moja bila ya supply bro
Dah...tatizo ni teknolojia tu. .inakua taratibu.....baadhi ya maeneo duniani walanguzi wanafyekelewa mbali....tutafika tu....,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom