Mayai yangu yanaliwa jamani

Hbr ya saa hizi?kuku wangu anameanza kutaga anamayai sita .tatizo lililopo ameanza kuumwa toka Jana.je ataweza kuendelea kutaga maana Leo hajataga
 
kwetu huwa tunakata kidogo ile ncha ya mdomo (wa juu na chini) kwa kisu. Kuchoma inaweza kuwa inauma zaidi kuliko kukata
Serious mkuu kuna kuku anataga hapo hapo anakula ukisikia anaita inabidi ukimbilie la sivyo atalila mkuu dawa ni kuchoma mdomo na kisu cha moto ashindwe kutoboa yai
 
Nikweli inawezekana kuku mwenyewe anakula mayai yake.dawa ya kuchoma midomo nikweli ila huwa inakuwa na upungufu wa calcium kwa kuku.na kenge huwa ni hatari sana kwakula mayai sana bandani
 
Wanaweza kuwa wanayala kuku wenyewe.
 
Ziba hayo matobo madogo ila wawekee oxygen kidogo
 
Fanya utafiti kwanza then ndo ufanye solution
Usikurupuke tuu!

Na hizi ndo changamoto za ufugaji wa kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…