Hatari sanaWadudu wamechimba mahandaki wanaingia bandani wakitokea ardhini.
Bandarini wizi ni vilevile
scanners hazifanyi KAZI
Muhimbili MRI na CT scan havifanyi KAZI
Kila sehemu upigaji unaendelea kama kawa
Flow meters hazifanyi KAZI bado.
Makaburi mengine hayafukuliwi, kwa hiyo tuendelee tu kupigwaHatari sana
Serious mkuu kuna kuku anataga hapo hapo anakula ukisikia anaita inabidi ukimbilie la sivyo atalila mkuu dawa ni kuchoma mdomo na kisu cha moto ashindwe kutoboa yaiumenifanya nicheke,are you serious?
uwe makini asikudhuru moto kitu ingine choma wote bandani sababu huwezi jua ni yupi anakulaAsante nitafanya hivyo
Duh gharama ya mbwa tenaMkuu next time fanya hivi fuga mbwa atakusaidia kuondoa hao jamaa. Niliwahi kupata tatizo kama lako nilichokifanya nakiona na kina mafanikio leo hii, Nilichukua mbwa mdogo Germany sherpard nikamchanganya na kuku(nilijenga banda lake ndani ya banda la Kuku as times goes mbwa akaja akawa rafiki wa kuku hivyo mayai nayaona hakuna kicheche wala nini kwangu.
Mbwa asili mayaiMkuu next time fanya hivi fuga mbwa atakusaidia kuondoa hao jamaa. Niliwahi kupata tatizo kama lako nilichokifanya nakiona na kina mafanikio leo hii, Nilichukua mbwa mdogo Germany sherpard nikamchanganya na kuku(nilijenga banda lake ndani ya banda la Kuku as times goes mbwa akaja akawa rafiki wa kuku hivyo mayai nayaona hakuna kicheche wala nini kwangu.
Mara nyingi huwa anakuwa nyoka sasa chukua mayai mawili yachemshe hadi yaive kisha toa mayai mengine yote humo ndani alafu yaweke hayo uliyo chemsha kama ni nyoka akifika atayameza hayo mayai lakini yatamshinda kupasua akisha yameza atakufa!Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala.
Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu mwenye anaweza kupenya kwenye matundu madogo?
Nifanye nini kumdhibiti mnyama/mdudu huyo jamani napata hasara.
Asante sanaMara nyingi huwa anakuwa nyoka sasa chukua mayai mawili yachemshe hadi yaive kisha toa mayai mengine yote humo ndani alafu yaweke hayo uliyo chemsha kama ni nyoka akifika atayameza hayo mayai lakini yatamshinda kupasua akisha yameza atakufa!