CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,951
- 9,509
Kiukweli viongozi wa nchi yetu wamekosa ubunifu na dira kabisa,wamebaki kua wabinafsi kwao na their families!nadhani sisi kama Watanzania inabidi tupambane sana ili kuweza kubadili mindset za hawa watawala wetu na hata wale Watanzania wengine waliolala!kuendelea kunyamaza na kuamini maamuzi ya wanasiasa ni sahihi ndio tutaendelea kudidimia kwenye umaskini,ni bora kuwapazia sauti ili akili zao zifunguke!nchi yetu ina kila fursa lakini tunazidi kua maskini kutokana na urasimu,kutokua na ubunifu toka kwa viongozi wetu,wao wenyewe kutojitambua ni fursa gani hasa kama taifa tunahitaji kunufaika nazo!hizi kauli mbiu mara sijui kilimo kwanza,mara sijui vile bila utekelezwaji taifa litazidi kua taifa linalodidimia!wenzetu Wakenya ni wepesi wa kuzitumia fursa japo hawana fursa nyingi kama zetu!imagine serikali yao inawa support katika ufugaji wa ndege kama Kware na mbuni,huku kwetu ni urasimu tu!tena masharti ni magumu kweli kweli kwa Mtanzania wa kawaida kuweza kunufaika na fursa zilizopo nchini mwake,kuliko uwepesi wa foreigner kufaidika na rasilimali za Tanzania!wana
Mkuu Sibayi, urasimu huu wa serikali unaturudisha nyuma sana ingawa in other way round unaleta changamoto na kufanya mbinu mbadala zifanyike, kazi ya ufugaji imeshaanza na biashara inaendelea hayo mengine ya kuwategemea wanasiasa waliokaa kwenye maofisi kama mabwanyenye yasitufunge jitihada zetu
Mkuu unacho sema ni sahihii but huwezi fanya biashara kubwa bila kibali ni ngumu ia kufuga kwa substance haina shida ingawa nayo ni ishu, ila huwezi uza kwenye mahoteli a uka export bila kibali
Mkuu ni kweli, kabisa, mimi nakumbuka siku ya kwanza nilivyo enda ofisi za ant pouching Arusha ku introduce hii ishu ya Kwale, kuna watu walinishangaa sana, jamaa walishangaa sana kusikia kwale wana fugwa, sasa ni kajiuliza ningewaambia nataka kufuga Mbuni ingekuwaje?
Mkuu nilishawahi andika hapa kwamba tukiwa ndani ya nchi watanzania tunajipiga kifua kwamba tunajua mengi na tuko juu! Ukiingia kwenye anga la kimataifa unagundua kuwa Tanzania ni giza totolo kuliko tunavyodhania. Nimejifunza mengi sana kupitia Kenya!! Kenya wako hatua nyingi sana mbele kuliko sisi! Wamenakili teknolojia nyingi sana kutoka mataifa ya mbali nakuzichakachua zikalingana na mazingira yao. Wanatumia fursa mbali mbali ipasavyo! Sasa iwapo wenye fani ya wanyamapori wenyewe hawajui wanyama wanaofugika na ambao wametoa ajira sehemu zingine duniani ni kichekesho !! Tunajidai sana lakini hatuna lolote, kila mmoja ahangaike kivyake tu hadi jua litakapotua lakini kama nchi tusitegemee chochote for the near future! Tulishapotezwa mwelekeo tuliporogwa na waliodhania dunia inaweza kuendelea kwa socialism!!
Ha! si bora fisi je wanaofuga misukuleUnafuga tu mkuu, watu wanafuga Fisi sembuse hawa Ndege,
Hawaruhusiwi kufugwa hawa.
Hawaruhusiwi kufugwa hawa.
Ndugu wewe endelea na mawazo hayo tu badala ya ku consider vitu in a positive way,hata kanga pia ni kama kwale,ila mbona wanafugwa na wanauzwa wao pamoja na mayai yao mpaka pembezoni mwa barabara?umewahi sikia mtu kahukumiwa kwa kufuga kanga?kwale siku hizi watu wameanza kuwafuga kwa kasi baada ya kujua faida yake,ila ku export hapo ni issue,hauwezi kuwa export bila kibali
vikwazo vingi tunajitengenezea kwa kutumia vibaya mchakato wa maamuzi.
Japo Kuna jamaa kasimamishwa kazi kwa kukutwa na Bata maji wawili; nafikiri ni porojo zao atakuwa na msala mwingine.
Mkuu una kwale watokao Japani/China?, nataka kuanza kufuga mwezi wa 3 nitahitaji mayai wiki ya pili mwezi wa pili.
Nikitanguliza Salaam.
Mkuu hawa Ndege ni wazuri na wananza kutaga wakiwa na umuri wa wiki 7, tu na wakiwa na wiki 5 unaweza uza mtu akaenda kula, na wanaatamiwa kwa only 18 day,
Ila Kuna baadhi ya inforamation nimezipata so ni ta ku PM make ni very nyeti sana, na hii ni kwa sababu wewe ndo mleta maada na mhitaji mkuu,
Mkuu quail waliopo ni wa jamii ya Kijapan,na unaweza pata mayai ukitaka kuwekea kwenye incubator ili upate vifaranga kuna gharama yake pia,wewe ukiwa tayari nijulishe tu mkuu
Kwa nyongeza tu..mie ninawafuga na kwa maeneo ya kibaha wanapatikana wafugaji wengi tu