Mayai ya Kwale Yanauzwa

Mayai ya Kwale Yanauzwa

Ungetuwekea picha maana wengine hata hatujui kwale wanafananaje.

Mkuu hapa natumia simu ambayo haina uwezo wa ku upload picha,ila mbona uki google tu either quail au quails eggs utapata picha na maelezo stahiki!google imerahisisha mengi
 
Mayai yapo mkuu,ni Tsh 20,000/= kwa tray,ni affordable kabisa,maana kwenye maonesho ya nanenane Morogoro walikua wanauza 3,000/= kwa moja!mayai yapo Dar,ila kama unataka tray zaidi ya tano nijulishe mapema

Poa mkuu,mimi nitahitaji tray tatu tu,ila ni by mid of october,maana kwa sasa niko nje kidogo,na ukweli nimeonja nyama ya hawa ndege,dah ni balaha,ila mayai yao ndio sijafanikiwa kuyapata kwa huku nilipo sasa (U.K)nataka nije nitotoleshe nianze kuwafuga mkuu,nchi yetu Tanzania ni nzuri sana na ina kila kitu,ila wenyewe tu hatujagundua uzuri wake!nyama ya quail huku ni gharama sana,na inapatikana katika sehemu maalum,while nyumbani Tanzania unaweza kuwafuga na kupata tiba kupitia mayai yao
 
Dar es salaam unapatikana sehemu gani ndugu?nami nahitaji tray moja
 
Japanese_Quail.jpg
 
Kwale... ndege kuku... bundi... mabututu... ujasiriamali kazi kwelikweli

Mkuu kuna tofauti sana kati ya Kwale na bundi..kwale wanatumika dunia nzima for table food na eggs consumption while bundi hawana matumizi yoyote kwa jamii...kila kitu ni kazi mkuu si ujasiriamali pekee hata kuajiriwa,kusoma kote ni shughuli kubwa!hatutakiwi kuendelea kulala wakati nchi nyingine wameamka
 
Mkuu nimejaribu kukupigia sikupati,naomba kujua bei kwa tray moja ni kiasi gani?kama bei ni reasonable nahitaji tray 4 haraka iwezekanavyo mkuu
 
Mkuu nimejaribu kukupigia sikupati,naomba kujua bei kwa tray moja ni kiasi gani?kama bei ni reasonable nahitaji tray 4 haraka iwezekanavyo mkuu

Ni kweli mkuu,siku hz mbili tatu nilikua kwenye maeneo ambayo network hakuna,bei kwa tray ni 20,000/= na kama utataka uwekewe kwenye incubator upate vifaranga unaongeza 10,000/= ila kwa sasa kuna order ambazo nafikiri kuweza kupata mayai ni mpaka kuanzia tarehe 18 mwezi huu hivi
 
Tray moja ina mayai mangapi????

Maana hapa uganda its very expensive na tray moja ya mayai 50 inaenda hadi 150,000/= u.sh ambayo ni kama 90,000/=t.sh
 
Je kuna mtu anaweza kunisaidia na vipimo vya banda la kwale 50
 
Tray moja ina mayai mangapi????

Maana hapa uganda its very expensive na tray moja ya mayai 50 inaenda hadi 150,000/= u.sh ambayo ni kama 90,000/=t.sh

Mkuu ni kweli mayai ya kware ni ghari sana hata Kenya, na advantage yao ni kwamba wanapata sapoti kubwa sana ya gavament hasa KWS, huku watu wanafuga kwa substance kibiashara ni ngumu kwa sababu ya vibari, Kibari ya kufuga kware nisawa na kuomba kibari cha kufuga twiga nyumbani, unategemea nini hapo?
 
Mkuu hakuna vipimo maalumu ni sawa na banda la kuku ingawa unaweza tengeneza ndogo kulingana na kiasi cha Kware, ufugaji wake na wa kuku zinafanana kila kitu,chakula unacho wapa kuku ndo kware wanakula, dawa ni hizo hizo
 
Tray moja ina mayai mangapi????

Maana hapa uganda its very expensive na tray moja ya mayai 50 inaenda hadi 150,000/= u.sh ambayo ni kama 90,000/=t.sh

Tray ni mayai 30 kama kawaida ya tray ya mayai ya kuku,bei kwa tray ya mayai 30 ni 20,000/= Tshs ambayo roughly ni sawa na 30,000 Ugandan Shillings
 
hahaha, kware? nakumbuka walivyo wajanja kukwepa mitego porini enzi zangu wanapokuja kuparua mahindi tuliyopanda kabla hayajaota. na ukiweka mtego, wanapita pembeni. mayai yake mengi tuliyakuta porini lakini kule nilikokulia huwa tuna imani kwamba, kare hata ufanyeje huwezi kumfuga akafugika. mayai yake ukiweka yatotoleke pamoja na ya kuku watoto huwa wanakua lakini wakifika umri mkubwa kwasababu asili yao ni porini, walikuwa wanatokomea porini. kama kuna mwenye kware wa kufuga hapa dsm, tuwasiliane ninunue nifuge jamani. contact zangu bofya contact kwenye SHERIA KWA KISWAHILI
 
Back
Top Bottom