bei?????Natafuta soko la kuuza mayai ya kuku wa kienyeji, namanisha kuku wa asilia kabisa. Kwa sasa nazalisha trei 2 kwa siku, sijui wapi pa kuuza nisaidieni.
Nauza jumla
trei sh 9000/=
Natafuta soko la kuuza mayai ya kuku wa kienyeji, namanisha kuku wa asilia kabisa. Kwa sasa nazalisha trei 2 kwa siku, sijui wapi pa kuuza nisaidieni.