tino k tino
New Member
- May 20, 2017
- 2
- 0
Salamu zenu wanajamii wote. hongereni na ujasiriamali. mimi ni mfugaji mdogo, (kuku chotara na kienyeji) nipo makao makuu ~ Dodoma mjini. ninauza mayai ya kuku chotara na kienyeji kwa bei nafuu kabisa! kwa anayehitaji tuwasiliane kwa:email gxnrio@yahoo.com, simu: 0764 227 692 au 0621 032 792. Asanteni,