Mayai ya kroila au mbegu ya Izraeli yanahitajika

chagga boyyy

Member
Jan 10, 2017
45
12
Habar wana jamvi mimi ni mfugaj naitaj mwenye product pure ya mayai ya kroila au kuku toka izraeli yanayofaa kuangulisha tuwasiliane 0717209059 hata wasp
IMG-20170117-WA0001.jpeg
IMG-20170117-WA0006.jpeg
 
Hata mm nahtj mayai ya kuku wa Israel au kuku mwenyewe mtetea na jogoo...mwenye navyo weka no.ntakupigia

.
 
kwani hao kuku nao ni wayahudi? nyama yao ni kama ile mana Musa aliyowalisha israel kule jangwani? wana sifa gani ya pekee mpaka unawatafuta hivyo? tujulishe kaka tunaweza kusaidiana
 
Sidhani kama nitakuwa na msaada sana kwa upande wa kutafuta hayo mayai ila tu naomba nichangie kwa upande wa elimu kidogo. Hiyo breed uliyandika kuwa unatafuta inaitwa Kuroiler.Asili yake in India na kwa East Africa walianzia Uganda ndo wakaingia Kenya. Sijui kama Tanzania kuna breeder lakini nimekutana na hii website ya mfugaji yupo kenya na ameweka namba yake kabisa--Worcester Farm--0776533935/0700757285. Website yake in kienyeji.org au hata uki-google Kuroiler chicken utapata maelezo.
Sehemu ya pili,breed pekee ya kuku kutoka Israel ninayoifahamu ni Featherless chicken. Katika kupita pita kwangu sijaona breed nyingine ya kuku ambayo origin yake ni Israel. Inawezekana ipo ila kama nilivyosema kwa upande wangu sijaona. Nafikiri nimesaidia angalau kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom