Lugoba Investment
Senior Member
- Dec 5, 2013
- 180
- 186
Vifaranga vya red rhode island bado vinapatikana? Bei zake zikoje?
ndugu anayeitaji dagaa anachukua Kwa sh ngapi Kwa kilo
Vifaranga vya red rhode island bado vinapatikana? Bei zake zikoje?
ndugu anayeitaji dagaa anachukua Kwa sh ngapi Kwa kilo
wanapatikana chotara (rir,kuchi, kenbro) bei bado ni ile ile sh elfu 2000 kwa kifaranga cha siku moja mpaka tatu.
Karibu sana
Wanapatikana chotara (rir,kuchi, Kenbro) bei bado ni ile ile sh elfu 2000 kwa kifaranga cha siku moja mpaka tatu.
Karibu sana