Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya

Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya

Ila tuwe wakweli hakunaga mayai ya plastic
 
Tuwasiliane zaidi kwenye no. 0756 087894 mkuu, ili kufanya formal agreements za order yako, Karibu sana..!
Kama nikiyaona na yakiwa kiwango naamini huku nilipo unaweza kupata wateja wengi sana.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kama nikiyaona na yakiwa kiwango naamini huku nilipo unaweza kupata wateja wengi sana.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Mkuu wala usiwe na wasi wasi, weka order yako hata ya tray 1 na baada ya hapo naamini utakuwa balozi wangu mzuri sana.
 
haha hah "lisemwalo lipo mkuu, kama halipo laja" BY WAHENGA🙂🙂
Anae nunua nae ni mwehu
plastic haipikiki
nI kamaile ya mchele mtu anasema kuwa ni wali wa plastic kwa logic ya kawaida tu ya darasa la saba hivi kweli plastic ukiiichemsha inaweza iva?
 
Anae nunua nae ni mwehu
plastic haipikiki
nI kamaile ya mchele mtu anasema kuwa ni wali wa plastic kwa logic ya kawaida tu ya darasa la saba hivi kweli plastic ukiiichemsha inaweza iva?
similar case imewahi kuwa reported India though hii idea ya "plastic" bado inaendelea kuwa ni "Myth" kwa sababu mpaka sasa hakuna scientific evidences behind the idea world wide; na hata hapa kwetu TZ TFDA bado hawajatoa tamko lolote. So, cha muhimu ni kuwa makini sana pale tunapotaka kufanya manunuzi ya kitu chochote kile sio mayai tu kwa sababu dunia inabadilika kwa kasi sana.
 
Karibuni muweke orders zenu wakuu, delivery ni mpaka mlangoni kwako.
 
Wote mnaendelea ku-order nashukuru sana, karibuni na wengine tujenge afya zetu kwa protini nzuri na rahisi inayopatika kwenye mayai ya kuku wa asili (kienyeji)
 
Back
Top Bottom