Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya

Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya

elnino

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
75
Reaction score
26
Habari zenu wakuu…!

Sasa waweza kupata mayai ya kienyeji (fresh) yaliyotagwa ndani ya masaa 48 (siku mbili) moja kwa moja kutoka shambani (Bunju B – Mabwepande), yanafaa kwa kuliwa na pia kwa ajili ya kutotolesha kwa sababu ni fertile.

Bei ni TZS 15,000/= Kwa trey moja na unaletewa popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.

MAWASILIANO NI 0756 087894, KARIBUNI.
 
Attachments

  • IMG_6710.JPG
    IMG_6710.JPG
    245 KB · Views: 81
  • IMG_6711.JPG
    IMG_6711.JPG
    254 KB · Views: 75
  • IMG_6720.JPG
    IMG_6720.JPG
    229.8 KB · Views: 79
  • IMG_6726.JPG
    IMG_6726.JPG
    239.8 KB · Views: 79
  • IMG_6727.JPG
    IMG_6727.JPG
    165.2 KB · Views: 72
  • IMG_6729.JPG
    IMG_6729.JPG
    144.8 KB · Views: 71
Aisee mayai makubwa kama ya bata mzinga. safi sana ntakucheki. Hivi huwa ya kienyeji yanakaa siku ngapi kabla ya kuharibika??
 
Kabisa mkuu, ni bora ukapata moja kwa moja kutoka shambani maana watu wanaangalia pesa zaidi kuliko afya za walaji.
halafu nimependa ufugaji wako mkuu,kuna kitu nimejifunza
 
Aisee mayai makubwa kama ya bata mzinga. safi sana ntakucheki. Hivi huwa ya kienyeji yanakaa siku ngapi kabla ya kuharibika??
Katika mazingira ya kawaida, mayai ya kienyeji yanafaa kukaa kwa muda usiozidi siku 10 hadi 12 ili ubora wake uendelee kuwepo. Kukaa muda mrefu zaidi ya hapo itategemeana na namna ya uhifadhi, ingawa baadhi ya virutubisho vinapungua kadri muda unavyo kwenda mbele.
 
Attachments

  • IMG_6700.jpg
    IMG_6700.jpg
    24.4 KB · Views: 71
Katika mazingira ya kawaida, mayai ya kienyeji yanafaa kukaa kwa muda usiozidi siku 10 hadi 12 ili ubora wake uendelee kuwepo. Kukaa muda mrefu zaidi ya hapo itategemeana na namna ya uhifadhi, ingawa baadhi ya virutubisho vinapungua kadri muda unavyo kwenda mbele.
You are the best mkuu. Nusu tray linanihusu.
 
Haya, mi nataka niletee huku Fomz, tray 1

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
kwa 15000 unaniletea mpaka home mkuu?
 
Haya, mi nataka niletee huku Fomz, tray 1

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Tuwasiliane zaidi kwenye no. 0756 087894 mkuu, ili kufanya formal agreements za order yako, Karibu sana..!
 
Back
Top Bottom