Mayai ya kanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mayai ya kanga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Africa_Spring, Sep 15, 2012.

 1. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kujuzwa wapi naweza kupata mayai ya kanga kwa bei yoyote ile.
  Natanguliza shukurani
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama uliombwa na mganga wa kienyeji
  yeye huyo huyo anakua na biashara hio
   
 3. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unataka kiasi gani,mie ninayo tele
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  ha ha haaa!!! Mwali bwana...Umejuaje kuwa katumwa na mganga wa kienyeji?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina mashine ya kutotoresha mayai...sasa nimezalisha vifaranga vya kuku now nahitaji nizalishe vifaranga vya kanga, si unajua tena huku kijijini biashara zetu mifugo jamani tofauti na ninyi wa mjini ndugu zetu. Hata kama naweza kuyapata kwa huyo mganga ntashukuru pia.
   
 6. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ntashuru kuru sana nahitaji si chini ya 10 maana nataka nitotoreshe kwa kutumia INCUBATOR.
  Sasa ntakupataje mkuu...
  Natanguliza shukurani
   
Loading...