Mayai ya kanga yanauzwa

Mayai ya kanga yanauzwa

Niko mbezi Beach karibu na hospitali ya Massana Nzee wangu. Karibu sana mjini hapa kazi hakuna inabidi kubuni cha kujipatia riziki watoto waende shule
 
Nahitaji ya kutotolesha, unaweza kuniletea posta
Samahani unaweza kuwa na ya bata bukini na mzinga pia?
 
upowapi mkuu

OK ninaweza kukuletea town usijali. ofisini kwangu ni karibu na Ocean Road Hospital. Piga simu na. 0712-695090 uniambie unayataka mangapi na lini. Nina ya kanga tu kwa sasa. Pia nina ya kuku wa kienyeji.
Bata mzinga wakianza kutaga nitakujuza. Ninauza bata mzinga dume kama unataka.
 
Hivi bata mziga dume anaweza kuzaa na bata wa kawaida?
 
OK ninaweza kukuletea town usijali. ofisini kwangu ni karibu na Ocean Road Hospital. Piga simu na. 0712-695090 uniambie unayataka mangapi na lini. Nina ya kanga tu kwa sasa. Pia nina ya kuku wa kienyeji.
Bata mzinga wakianza kutaga nitakujuza. Ninauza bata mzinga dume kama unataka.

kanga wauza shs ngapi na ni wakubwa kiasi gani?ninaishi segerea
 
kumbuka wakati wa kuyasafirisha hakikisha hayatikisiki. yabebee kwa kuyachomeka kwenye unga au mchanga safi na mkavu. ncha iangarie chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom