lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Yani hawa watu wanataka kutumaliza huku Afrika sio watu salama kabisaMmmh mayai tena?? Daaah
*Consumers' Tip Mchele Fake*
Unaponunua mchele tafadhali chukua kiasi kidogo tia katika kikombe kisha jaza maji, tingisha mchanganyiko wa maji na mchele uone kama mchele una elea ama uko chini ya maji.
Kama unaelea basi huo umetengenezwa kwa plastic na haufai kwa matumizi ya binadamu.
Kuwa makini mtumie na mwengine kunusuru afya zao.
Piga simu hii 022 245 0512 TFDA kuwajulisha umeununua wapi au polisi ili wahusika wakamatwe.
Kwapamoja tuzilinde afya zetu..
Bidhaa bandia nyingi tu zinaingizwa nchini na TFDA baadhi wanazikamata, unaamini vp kama hayaingii?Nchi yetu haingizi mayai kutoka nje....
kabisa mkuu sio watu wemaYani hawa watu wanataka kutumaliza huku Afrika sio watu salama kabisa
Watu wanajari mifukoYani watanzania nao wanashiriki kuingiza na kusambaza hizi bidhaa hatari.
Bora nyie aisee, ila sisi wa mjini kila kitu tukanunue madukani hatuna amani kabisa, mm nimepunguza kabisa kula wali isiwe tabu kabisa.Bora tunao ishi sumbakalesa twajilia tunavyolima na kufuga wa mujini poleni
Binadamu wengine wanaroho za ajabu kabisabora uuze hata bangi kuliko kuwauzia wenzio mchele wa plastiki
Nchi yetu haingizi mayai kutoka nje....
Mamlaka zimelala kabisa, walitakiwa wawe wanafanya uchunguzi unapotokea huo mchele na hayo mayai, Kupitia hizo video wangefanya followup kwa wakwanza aliye upload aseme alipouziwa michele ya aina hyo ili wakamatwe, na pia kama pangekuwa na reward ya kutoa info sehemu inapozalishwa hapa TZ pia ingesaidiaIla twende mbele, turudi nyuma, je mamlaka ziko wapi?
Wapo kama hawapoIla twende mbele, turudi nyuma, je mamlaka ziko wapi?