Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,893
- 2,794
bwana Mkojani naona povu sanaaa wewe na wakojani wenziwe hamtaifanyaa chochote taifa teule ,mnapiga ramli tuu za kiganga wa pembaa ,hata mipige kelele hakuna kitu mtafanyaaa ,soon utaskia ULAYA WOTE WANAIUNGA MKONODunia maarufu ina pembe 4. Pembe ya kaskazini tunaikuta Ireland na hata UK wanawazomea mayahudi.Pembe ya kusini ni Afrika kusini wamefungua kesi ICC.
pembe ya magharibi kuna Australia umewaona hapo katikati ya jiji walivyocharuka.pembe ya magharibi mpaka Israel imemuita balozi wake baada ya Brazili kuizomea.
Tusubiri na utaona hapo baadae hali itakavyowageuka marafiki zako wa kilokole.bwana Mkojani naona povu sanaaa wewe na wakojani wenziwe hamtaifanyaa chochote taifa teule ,mnapiga ramli tuu za kiganga wa pembaa ,hata mipige kelele hakuna kitu mtafanyaaa ,soon utaskia ULAYA WOTE WANAIUNGA MKONO
Pole yako,kama Wagiriki wanaoandamana kuwapinga wayahudi ni waislam sawa.Uislam ni tatizo kubwa.
Huyo ni kichaa mkuu hata ukitizama hoja zake hazina maana wala mashiko.Tusubiri na utaona hapo baadae hali itakavyowageuka marafiki zako wa kilokole.
Si sahihi kumshambulia mtu yeyote kwa sababu tu serikali fulani huko mbali inafanya jambo usilolipenda. Mimi siwezi kukutana na mchina huku Dodoma, halafu nimshambulie eti kwa sababu serikali ya China imemnynyasa Mtanzania fulani huko Hongkong.Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya kuwaunga mkono wapalestina.
Huko huko Paris mti uliopandwa kumuenzi yahudi mmoja aitwaye Halimi aliyeuwawa miaka 14 iliyopitwa nao umekatwa chini,jambo ambalo raisi Macron wa nchi hiyo ameapa kuwatafuta watu hao.
View attachment 3445255
Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.
View attachment 3445253
Matukio ya aina hiyo yameenea kote duniani katika kipindi hiki cha miaka miwili ya vita vya Gaza.Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea yamefanyika nchini Australia wakiwaunga mkono wanachi wa Palestina,
View: https://www.youtube.com/watch?v=j9S1qnZvWpkWamebaki watu wanne tu wenye mapenzi na wauwaji ambao ni Echolimali,Imeloa,Yoda na Mlaleo.
Wewe huwezi na mimi pia.Lakini kwa mayahudi ni jambo la kawaida sana.Si sahihi kumshambulia mtu yeyote kwa sababu tu serikali fulani huko mbali inafanya jambo usilolipenda. Mimi siwezi kukutana na mchina huku Dodoma, halafu nimshambulie eti kwa sababu serikali ya China imemnynyasa Mtanzania fulani huko Hongkong.
Huyuu Kojani la mwanakwerekwe linatuletea uongo tuu hapaa ili apate attention na bado Israili itawshikisha adamu hadi waombe maji ya bahari ,MASHARIKI YA KATI MWENYE NGUVU ALIYE BAKI NI Iran soon tutamalizana naye tuuuUkiona unazomewa ujue ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
Mi ni Mtanzania na nimezomea,na wewe acha uongo tafuta kazi ufanye.Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,
Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
umezomeoa chumbani kwakoo acha kurukia treni kwa mbele utogongwa vibaya sanaaaaMi ni Mtanzania na nimezomea,na wewe acha uongo tafuta kazi ufanye.
Sasa mbona wewe unawasemea wangine,wewe waongelee familia yako na wazee wako.umezomeoa chumbani kwakoo acha kurukia treni kwa mbele utogongwa vibaya sanaaaa
Hao raia wa Israel mkuu wana fujo.Si sahihi kumshambulia mtu yeyote kwa sababu tu serikali fulani huko mbali inafanya jambo usilolipenda. Mimi siwezi kukutana na mchina huku Dodoma, halafu nimshambulie eti kwa sababu serikali ya China imemnynyasa Mtanzania fulani huko Hongkong.
Embu mpuuze huyo kichaa hajielewi.Sasa mbona wewe unawasemea wangine,wewe waongelee familia yako na wazee wako.
Vita haikuanzisha na Hamas.Hamas ndio walianzisha vita kwa kuwaua mamia kwa mamia ya Wayahudi.
Wapalestina waliandamana kushangilia mauaji yale sasa yanawakuta wao!
Acha wakipate wanachokistahili kama walivyoanza!