Delly Mandah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 391
- 194
Mi Nokia ya tochi yamitosha
Ni budi wafanye hivyo kwani Techno inawaharibia sana biashara hasa barani afrika. Mbona huulizi kwa nini ITV inapoelezea kuwa inapatikana kupitia tv zote nchini lakini hawaitaji startime??? nadhani jibu unaloHabari zenu wakuu,
Naomba niingie moja kwa moja kwenye huu uonezi wa kibiashara unaofanywa na hawa Max Malipo wakiwa kama wakala wa kuuza simu za Samsung.
Kuna tangazo lao linaonekana kwenye Runinga likimuonyesha mwanadada mmoja akimwambia mkaka 'Wewe mpaka leo unatumia simu zisizofaa?' Yule kaka amekaa juu ya ya Bodaboda ameshika simu wameonyesha mpaka brand yake kabisa ni Tecno.
Nimeshindwa kupata picha lakini wanajamvi kwa hili sio sawa kibiashara. Waswahili wanasema ''Kimfaacho mtu chake".
Hata kama Tecno ndo hivyo hawakupaswa kuwafanyia vile.
Wahusika waliangalie hili kwa undani.. Sio sawa