MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Hayawi hayawi...hatiamye leo hii Marcio MAXIMO kawasili kuitumikia klabu ya YANGA kwa mkataba wa miaka miwili.
Unajisema bila ya kujijua, uwe Mwanayanga au la. Nyimbo mbaya habembelezewi mtoto. Hayo yako ndio majungu yenyewe!Niwajuavyo Yanga, Watamtimua sasa hivi. Soka la Bongo linaongozwa na uchawi na majungu. Kila la heri MASKIO MASKIMO
Niwajuavyo Yanga, Watamtimua sasa hivi. Soka la Bongo linaongozwa na uchawi na majungu. Kila la heri MASKIO MASKIMO
Uchuro ushaanza...kwanini wa tz ni watu tusiojiamini katika kile tukifanyacho?? ushindwe na ulegee wa jamaa.
Hayawi hayawi...hatimayee leo yamekuwa , mida hii Marcio MAXIMO kawasili hapa Mwl.Nyerere Int. Airport (JNIA) kuitumikia klabu ya YANGA kwa mkataba wa miaka miwili.
Soka la Bongo uchuro mtupu,utashangaa wapenzi wa Yanga watataka mabadiliko ya haraka wakati hawajawekeza katika soka la vijana.
Akifungwa na simba tu.. ajue kitawaka
Tatizo ni mfumo....!!! Na hili ndilo donda ndugu linalotesa soka la bongo
Uikumbuke hii post yangu siku kikinuka jangwani
Muone huyu naye..hovyooo...