Tuliambiwa kuna maboresho ya Jamii Forums (JF) usiku, hebu tuambizane mlioona toafauti/ maboresho yaliyofanywa

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,982
Mimi yawezekana sio mchunguzi labda sababu natumia PC kuingia ila kiukweli sijaona tofauti ya JF ya wiki iliyopita na JF ya leo.

labda sababu walisema mabadiliko haya si ya kuonekana kwa macho, okey sawa

Haya ndugu zangu wa JF APP vipi tatizo lenu la 'NOTIFICATION' naskia vilio vyenu vimezidi, wametatua tatizo lenu?

Huku mimi bado naendelea kutafuta haya maboresho yapo kwa upande upi.
 
Mpaka huo muda walio sema mtandao utakuwa down ñilikua online na hakuna cha down wala nini
 
JF haitaki kuambiwa ukweli na matokeo yake watu wakiongea/kuandika ukweli

comment zao zinafutwa bila sababu ya msingi
 
Jf.. wanazi zi encrypt data zenu... maboresha mengine hufanyika backend side... ambayo user wa kawaida ni ngumu ku note, wanapo toa taarifa ni tadhari, ili chochote kikitokea kipindj wanafanya maboresho kikitokea muwe na taarifa ....

Kuhusu kuuzwa watu, hayo mashaka ya kibinadamu... ila pia ikupe fulsa ya kuwa mkweli na kusimami unacho amini
 
labda sababu walisema mabadiliko haya si ya kuonekana kwa macho, okey sawa
Mkuu huoni kuwa sasa hivi tuna Moderators wenye majina tofauti na ya zamani. Sasa hivi tuna ' Mod One', ' Mod Two', 'Mod Three'...nakadhalika? Hii ni moja ya mabadiliko niliyobaini. Nadhani yatakuwepo mengine.
 
ile page ya kwanza kabisa huwa siitiiliii maanani kabisa ulivyosema ndo nikaenda kuchungulia

kweli bana nimekuta Mod's wamejipanga mithili ya foleni ya kupiga kura tumeanza na MOD one
 
Back
Top Bottom