Maxence Melo: Rais Magufuli anafanya vyema katika Mapambano dhidi ya Ufisadi lakini tunahitaji Taasisi imara

Status
Not open for further replies.
FikraPevu
Let me shade in some light with this post of many thoughts: Democracy - I personally don't think there is democracy if native (Tanzanians) can't speak their minds no matter how bad it may be.

Giving an individual the chance to express himself is a constitutional right but this right was adopted from the natural right man has been blessed with by God.

No democracy if natives are being helded back to participate in gatherings to determine the fate of their lives; no democracy if our elections are riged by a few unknown people, no democracy if we suppress concious minds just to keep power to ourselves; no democracy if natives are afraid & insecure of their lives & property, no democracy if our laws make no sense to afew people, I say no democracy if native lives make no sense to a few.

Let me ask if a native is deprived to speak of himself & the lives of his people we still call it democracy? There is a tendancy where if a political candidate or a native in mob gatherings; they call them fugitives. Anyway am not surprised this is how this nation was built on:
 
Fisadi gani ambaye amepambana naye na alisema kuna mahakama ya mafisadi je umewahi kusikia fisadi kapelekwa pale mahakama ya mafisadi?au anapambana na kivuri chake fisadi mkubwa huyo,nyumba za serikali, meri, na takataka nyingi tunazijua ,apambane kwanza na khali yake na kuonga madiwani na kutafuta kiki.

Swissme
Masamaki hukumuona ? Nyie chadema wabishi sana ! Kwi! Kwi! Kwi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa nini JPM anaruhusu azungukwe na wapiga deal katika utawala wake? TISS hawalioni hilo?

Wapiga deal wamejaa chamani, wamejaa serikalini, kwanini watu hao bado wanaendelea kuwapo kwa mgongo wa chama?
Mkuu bila katiba kufanya mchujo kufatilia utekelezaji, uadilifu itabaki historia!!
Mkulu aruhusu katiba mpya ifanye kazi.
Ingawa itagusa kila kona uadilifu utaonekana!
 
Dunia nzima bandari ni lango la hela ila tatizo tuna watu wenye vichwa vya samaki, na vichwa vya panzi ndiyo wanaosimamia mambo ya kutekelezwa au kufanywa na watu wenye akili kubwa kama Kichwa cha Tembo.

Kwa hali hiyo hapo, ni lazima majanga yawe mengi.

Tanzania mpya inawezekana endapo tu tutaondoa vichwa vya, kuku, vichwa vya panzi na vichwa vya samaki kwenye mambo ya msingi hasa ya uchumi na vitega uchumi.
 
Rais Magufuli kwenye masuala ya vita dhidi ya ufisadi nampa A+ kafanya kazi nzuri sana
 
Ameanza hivyo kwa kupongeza mwisho wa siku atasaidia kutoa siri za wachangiaji wa JF wanaomkosoa JPM, watanzania hawaaminiki wala kueleweka
Wewe muache tutemane naye na hii social media yake apewe Ukada uDC,DED au kesho kutwa naye aje na style ya kuunga mkono kama wale wanao unga mkono kupitia kuwezeshwa na chakubanga alafu anakuja kuwa hadaa wajinga eti ccm imeshinda kisayansi na inakubalika maana awamu hii badala ya kutatua matatizo ya wananchi wana deal na upinzani kwa kila mbinu ovu na chafu na kwa gharama kubwa kuua upinzani.

Nguvu na rasimali zinazotumika kuua upinzani awamu hii hazijawahi kutokea toak nchi kupata Uhuru na awamu zote za uongozizilizopita, ambapo rasimali zote hizo zingelitumika kutatua yale maswaibu yetu wa Watz. ambayo huonekana ni ndugu tungelikuwa mbali sana, ila kwa sasa unafiki umepitiliza na uongo,ushawishi kwa kulazimisha kuaminika,kupendwa n.k
Kinachozungumzwa na uhalisia wa maisha yetu wa Watz. hayana uhalisia hata chembe zaidi ya dramma za siasa TU.
 
Uma na kupuliza
Well said Max Melo!

Ujumbe umefika mwenye uelewa ataelewa
Awamu ilisema ina nia ya kukomesha ufisadi rushwa nakadhalika....... Ni wazo jema lakiniiiiiii so far ndivyo sivyo sivyo ndivyo ukakasi sehemu sehemu

Wamesikia sijui au wameelewa sijui
Tuendelee............
 
Kusema kila mtu anaweza guswa awamu hii si kweli. Ukiwa mpendwa kama Bashite huwezi guswa, muulize yule aliyewekewa bastola usoni atakwambia. Double standard zipo awamu hii sawa na awamu nyingine tu.
 
Chonde chonde Max, hata kama humaanishi ila endelea kumsifia jamaa.
JF tunaipenda sana.
Usije ukakosea ukawnda kinyume na jamaa. Wewe endelea tu kumpa sifa ili JF idumu hadi hii awamu ipite salama
 
Ni kweli kabisa mkuu! Labda kwa sababu vyuma vimekaza ndiyo maana watu wanaendelea kuvuta mlungula
Tunatengeneza taasisi nyingi sana imara kuzuia rushwa lakini kama watu hawabadiliki ni kazi bure.

Tatizo la rushwa nchi hii sio taasisi wala sheria, tatizo ni uadilifu wa mtu mmoja mmoja na kulindana.
 
Siungi mkono maoni ya Max.,kwani iko waz serikali ya magufuli ni watu wa porojo na double standard ktk vita ya ufisadi.uwezi sema unapigana na ufisadi wakati watuhumiwa wa ufisadi waliokamatwa na ushahidi wa video kule arumeru unawapandisha vyeo badala ya kuchukuliwa hatua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom