Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,599
Maxence Melo you are my hero. I'm proud of you comrade
Mkuu unavyo sema upo nyuma yake wakati kwenda mahakaman au kule kisutu hujaenda halafu unasema upo nyuma yakeTupo nyuma yako mkuu hatutakubali udikteta iwe usiku iwe mchana haki tutaitafuta
kwanini mashitaka sio shareholder mwingine isipokuwa Maxence Melo?Its one and the same.
BADO ! NGOJA NIYATAFUTEUmenena vyema lakini makosa aliyosomewa umeyaona?
umesema, kama haja kubwa ni laini tayari basi usiichanganye tena na haja ndogo, daktari atashindwa kutofautisha kama unajisaidia choo laini au unaharisha.Nawaomba wana mitandao tufuate sheria bila shuruti nina imani kila kitu kitakaa vizuri hata onewa mtu yeyote tusiingize siasa ktk jambo hili tuiachie mahakama ifanye kazi yake
sawa tuanze kwa kuandamana tupate katiba mpyaMkuu unavyo sema upo nyuma yake wakati kwenda mahakaman au kule kisutu hujaenda halafu unasema upo nyuma yake
Ingeni mfano wa jirani zenu hapc congo wameandamana wamepigwa risasi raia kama 20+ lakini still wapo barabarani
Ww unaweza kudhibitishaje kuwa sikuwepo mahakaniMkuu unavyo sema upo nyuma yake wakati kwenda mahakaman au kule kisutu hujaenda halafu unasema upo nyuma yake
Ingeni mfano wa jirani zenu hapc congo wameandamana wamepigwa risasi raia kama 20+ lakini still wapo barabarani