Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,453
- 11,332
hah nikweli mkuuApewe hata hata Nchi tu mi naonha fresh kuliko hao kina Mwiguluiza Madelu Nchembazimana wachumia tumbo tu!
Anastahili Kama jiwe aliweza kua mkuu wa Nchi japo ni Zero exposure yeye ni nani ashindwee?
2025 twende na Max!
sawa mkuuAkirudisha JLW apewe hiyo PhD haraka sana
jlw ni nani mkuuAkirudisha JLW apewe hiyo PhD haraka sana
Jukwaa La Wakubwajlw ni nani mkuu
Sijui kwanini aliliondoa aisee,nakumbuka miaka ya nyuma it was very lovely this jukwaaJukwaa La Wakubwa
Watu mlikua mnaacha kazi mnaingia jukwaan saa 2 asbuh. Je kaz mtafanya sa ngap?[emoji848]Sijui kwanini aliliondoa aisee,nakumbuka miaka ya nyuma it was very lovely this jukwaa
Lile jukwaa lilikuwa linavunja sheria za nchi, halipaswi kuwepo, ilifanyika kazi tukufu kulifutilia mbaliSijui kwanini aliliondoa aisee,nakumbuka miaka ya nyuma it was very lovely this jukwaa
Anapewaje PHD ikiwa haijulikani hatma ya JLW ?Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana.
Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au utofauti mkubwa katika ufanyaji wajambo lenye Tija kwa jamii. Mfano wawatu waliotunukiwa hesma hii ni Muasisi wa Microsoft , Gates, nq Yule Luciano yule muitaliana wa opera min.
Kwanini Maxence apewe?
Nani asiyejua mapinduzi ya habari za kidigital Tanzania yameletwa na Jamiiforum?
- Unajua JamiiForums ni jukwaa pekee la kitanzania linaloruhusu watumiaji wake kutoka kutoka maoni huku likijitahidi kulinda privacy ya watumiaji wake?
- Anajua ndio Ndio mtandao wenye machapisho mengi zaidi kutoka Tanzania?
- Anajua hakuna mahali palipoandikwa kwa kiswahili mtandaoni maranyingi kama jamii forum?
- anyway nahisi kuna mengi ambayo bado siyajui kuhusu Huu mtandao lakini kwa hayo machache yanaweza kuwa sifa za heshma hiyo.
Mwisho, Haya nimaoni yakibinafsi.
Huwezi kulijuajlw ni nani mkuu
Naunga mkono hojaAnapewaje PHD ikiwa haijulikani hatma ya JLW ?
Akirudisha JLW apewe hiyo PhD haraka sana
Mkuu,Wadau wa jlw tunakazia
Ndio hatuwezi acha ongelea shekheeMkuu,
Hatma ya JLW inategemea sheria za nchi..kuna pahala maxence alielezea.....
Utunukiwe tuzo ya heshima kwa wazo maridadi kama hili.Akirudisha JLW apewe hiyo PhD haraka sana
Baada ya kuvunjwa hizo sheria za nchi ziliwekwa POP ama bandeji? [emoji23]Lile jukwaa lilikuwa linavunja sheria za nchi, halipaswi kuwepo, ilifanyika kazi tukufu kulifutilia mbali
Kwani alisomeaga wapi?Nashangaa udsm wanashindwa wapi kumujumuisha huyo jamaa km zao lao? Hawajui utaongeza jina la chuo kimtaifa