Naunga mkono hoja yako mwalimu kwa 100 %!!
Eti badala ya kutatua huo mgogoro kwa kufanana na mila za ukoo wa mumewe (wasukuma mwanamke akisalimia lazma apige goti, ndo utamaduni wao huo, kwao ndo heshima hiyo) yeye anatafuta mbinu za kumdhibiti huyo wifi!!
Sasa sijui alitaka tumpe mbinu gani huyu bibie!!